kush moker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2016
- 579
- 367
Kujishtukia mwanaume ni ushogaKukagua kagua wanaume ni Ushoga.
"SIREDI"Nyingine bhana huwezi pita kimya kimyaSiredi nyingine bhana inabidi upite tu kimyakimya🏃🏃🏃
Pita tuSiredi nyingine bhana inabidi upite tu kimyakimya[emoji125][emoji125][emoji125]
"SIREDI"Nyingine bhana huwezi pita kimya kimya
Hawataki mviMwanaume uliekamilika huwezi kufanya haya popote nikikuona najua una vinasaba vya 'ushoga'
1. Mwanaume kupaka super black
2. Mwanaume kuchora tattoo
3. Mwanaume kuvaa suruali kama ya dadaako
4. Mwanaume kutoboa sikio
5. Mwanaume kuchekacheka ovyo
6. Mwanaume kutuma meseji umeandika vifupisho visivyoeleweka
Yangu ni hayo Mengine ongezea......
Mwanaume anaependa ofa za beer.
Mwanaume anaekula chips kuku/mayai mchana.
Mwanaume anaeomba lift
Mwanaume anaependa kampani ya wamama
Muulize dada yake akupe jibuWaacha we. Inaonekana huwa unashtuka na kusisimka sana ukiona wanaume wenzio.
Huenda Unafanya mojawapo kati ya hayoSiku ukikuta mkeo anazibuliwa mtaro utaelewa kuwa rijali hana mavazi wala sura! Utajifunza kuwa usimdharau mtu usiyemjua background yake.
Kuna jamaa nilikutana nae mwaka 2018, ukimuona unasema huyu anastahili kuitwa mwanaume kamili. Anafanya kazi ktik ofisi ya CAG. Akiwa katika harakati za kikazi, Young man 32yrs. Kimsingi ni mtu mwenye kukubalika na mwamke yeyote tu.
Tatizo: ANAFIRIMBWA
Swali kwako: Je kila mpaka super. Black, analamba mdomo, sio rijali?
Ni mtazamo wako, tu mkuu. Maoni yako hayana budi kuheshimiwa, katika kuheshimiwa kuna mambo mawili tu: moja yafanyiwe kazi; mbili, yaachwe kama ya livyo bila kufanyiwa kaI.Huenda Unafanya mojawapo kati ya hayo