Mwanaume anaefanya haya namuona si rijali

Mwanaume anaefanya haya namuona si rijali

Neno "rijali" ni overrated concept!! Haswa ukiwakuta hawa "Vibolo Dinda jobless" wanaosubiri ugali wa mama na kudoea doea kwa majirani basi ndio usiseme... mchana kutwa wanaimba rijali, rijali, rijali, rijali, rijali..... akigeuza topic kidogo basi ni kuimba ushoga, ushoga, ushoga, ushoga, ushoga.....usiku na mchana.

Nilichogundua ni kwamba hawa vibolo dinda wako very sensitive na 'masculinity' yao. Oversensitive. (nikitumia neno sahihi)

Na ukiona dume liko oversensitive na urijali wake au urijali wa wanaume wenzake ujue kuna shida mahali. KWANZA, inawezekana alihusishwa kwenye namna fulani ya ushoga akiwa mtoto na hivyo amepata trauma kali inayompa nightmares, au PILI, inawezekana ana kasoro fulani katika uanaume wake na hivyo anatafuta namna ya kufidia insecurities zake za nafsi (mgogoro wa nafsi wa kijinsia).
Ndo wale wale mwanaume huwezi kusema mambo ya mwanaume usiemjua kwa kuhisi hisi ni dalili za upunga
 
Mwanaume uliekamilika huwezi kufanya haya popote nikikuona najua una vinasaba vya 'ushoga'

1. Mwanaume kupaka super black

2. Mwanaume kuchora tattoo

3. Mwanaume kuvaa suruali kama ya dadaako

4. Mwanaume kutoboa sikio

5. Mwanaume kuchekacheka ovyo

6. Mwanaume kutuma meseji umeandika vifupisho visivyoeleweka

Yangu ni hayo Mengine ongezea......
Wewe itakuwa ume expire inatakiwa ujiupdate tu mkuu
 
Siku ukikuta mkeo anazibuliwa mtaro utaelewa kuwa rijali hana mavazi wala sura! Utajifunza kuwa usimdharau mtu usiyemjua background yake.

Kuna jamaa nilikutana nae mwaka 2018, ukimuona unasema huyu anastahili kuitwa mwanaume kamili. Anafanya kazi ktik ofisi ya CAG. Akiwa katika harakati za kikazi, Young man 32yrs. Kimsingi ni mtu mwenye kukubalika na mwamke yeyote tu.

Tatizo: ANAFIRIMBWA

Swali kwako: Je kila mpaka super. Black, analamba mdomo, sio rijali?
Duh! Kweli jau
 
Mwanaume aliye busy kuchambua wanaume wenzake yupo kundi moja pia[emoji38][emoji38]
Mwanaume uliekamilika huwezi kufanya haya popote nikikuona najua una vinasaba vya 'ushoga'

1. Mwanaume kupaka super black

2. Mwanaume kuchora tattoo

3. Mwanaume kuvaa suruali kama ya dadaako

4. Mwanaume kutoboa sikio

5. Mwanaume kuchekacheka ovyo

6. Mwanaume kutuma meseji umeandika vifupisho visivyoeleweka

Yangu ni hayo Mengine ongezea......
 
Hiyo namba mbili sioni uhusiano wake na hoja yako, ila fresh tu ni mtazamo.
Mwanaume uliekamilika huwezi kufanya haya popote nikikuona najua una vinasaba vya 'ushoga'

1. Mwanaume kupaka super black

2. Mwanaume kuchora tattoo

3. Mwanaume kuvaa suruali kama ya dadaako

4. Mwanaume kutoboa sikio

5. Mwanaume kuchekacheka ovyo

6. Mwanaume kutuma meseji umeandika vifupisho visivyoeleweka

Yangu ni hayo Mengine ongezea......
A
 
Back
Top Bottom