kush moker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2016
- 579
- 367
- Thread starter
- #81
Kuja kupinga mawazo ya mwanaume ni upungaKuandika sledi za midosho kama hizi ni ushoga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuja kupinga mawazo ya mwanaume ni upungaKuandika sledi za midosho kama hizi ni ushoga
Sahihi tena wenyewe wanasema rigaliRijali ni neno la Kiarabu lenye maana mwanaume.
Hujambo Rafiki mrefu!!Waacha we. Inaonekana huwa unashtuka na kusisimka sana ukiona wanaume wenzio.
DuhMwanaume kula chakula polepole zaidi ya 30min nao unatia shaka😊
Hilo nakubaliana nalo.Mwanaume anatakiwa ale kwa spidi ya nyakuanyakua.Kula polepole,kwa huzuni huku amejishika shavu ni tabia za kimalkia hizo.Mwanaume kula chakula polepole zaidi ya 30min nao unatia shaka😊
SureMwanaume kula chakula polepole zaidi ya 30min nao unatia shaka[emoji4]
Kabisa mkuuMwanaume kusuka nywele
Tena huo ndo umamaMwanaume kusema *mwenzanguuu*
Tena huu ni ushoga wa kiwango cha juu kabisa.6. Mwanaume kuja JF na kuandika "nishawahi siti ya mbele"
Sijambo!!Hujambo Rafiki mrefu!!
Hayo yote uliyoandika ni mbwembwe....kipimo tosha mpe mzigo....akikuchapa sawasawa ukatoka nafsi yako imesuuzika hamna tatizo....Hayo mengine msamehe tu..na muelewesheMwanaume uliekamilika huwezi kufanya haya popote nikikuona najua una vinasaba vya 'ushoga'
1. Mwanaume kupaka super black
2. Mwanaume kuchora tattoo
3. Mwanaume kuvaa suruali kama ya dadaako
4. Mwanaume kutoboa sikio
5. Mwanaume kuchekacheka ovyo
6. Mwanaume kutuma meseji umeandika vifupisho visivyoeleweka
Yangu ni hayo Mengine ongezea......
Ndo wale waleHapo kwa tatuu uninitaka ubaya come and see my bigfu*king di"*k
Wewe ni shoga na mwandiko wako unadhihirisha hiloHayo yote uliyoandika ni mbwembwe....kipimo tosha mpe mzigo....akikuchapa sawasawa ukatoka nafsi yako imesuuzika hamna tatizo....Hayo mengine msamehe tu..na mueleweshe
Anajitoa ufahamu, kuna wabeba vyuma na mabausa na wanakamuliwa kama mua na ndiyo wengi wanaongoza kupenda ofa na vitu vya bure!Wengine hawana sifa hizo lakini wanafanywa