Mwanaume anaeishi na VVU.

Mwanaume anaeishi na VVU.

asumpta

Member
Joined
May 18, 2012
Posts
46
Reaction score
8
Habari wana jf?mimi ni mwanamke wa miaka 31,naishi na virusi vya ukimwi,natafuta mchumba anaeishi na vvu kama mimi ili tufarijiane na tulinde wengine.Awe mkristo,kabila lolote na awe na shughuli inayomwingizia kipato,awe na miaka 30-36.nina elimu ya diploma na nimeajiriwa serikalini.naishi dar ila hata wa mikoani karibuni.kama uko serious nitumie email ansila.jotam@yahoo.com,naomba wana jf mnitie moyo kwa comments zenu na Mungu atawabariki.
 
Dada, Mungu na akutane na haja ya moyo wako..
 
Habari wana jf?mimi ni mwanamke wa miaka 31,naishi na virusi vya ukimwi,natafuta mchumba anaeishi na vvu kama mimi ili tufarijiane na tulinde wengine.Awe mkristo,kabila lolote na awe na shughuli inayomwingizia kipato,awe na miaka 30-36.nina elimu ya diploma na nimeajiriwa serikalini.naishi dar ila hata wa mikoani karibuni.kama uko serious nitumie email ansila.jotam@yahoo.com,naomba wana jf mnitie moyo kwa comments zenu na Mungu atawabariki.
kila la kheri ndugu yangu...
 
Mungu atakusimamia na utapata akupendae. Muomba Mungu hachoki. Kila la kheri
 
Mbona utoi update? Au unafanya risach members wanga pi wa jf wana vvu?
 
watu mkisikia hiv mnakuwa na heshima! I liked it coz unyanyapaa utaendelea kupungua na hatimaye chain ya maambukizo kukatika. Kwani itafika hatua waathirika wanajitambua na kuwalinda wengine labda kwa wale wanaojikoki kwa tamaa zao,ila kuna kesi nyingi siku hizi za kuambukizana bila mwingine kujua.
 
Habari wana jf?mimi ni mwanamke wa miaka 31,naishi na virusi vya ukimwi,natafuta mchumba anaeishi na vvu kama mimi ili tufarijiane na tulinde wengine.Awe mkristo,kabila lolote na awe na shughuli inayomwingizia kipato,awe na miaka 30-36.nina elimu ya diploma na nimeajiriwa serikalini.naishi dar ila hata wa mikoani karibuni.kama uko serious nitumie email ansila.jotam@yahoo.com,naomba wana jf mnitie moyo kwa comments zenu na Mungu atawabariki.

Pole sana dada yangu, mimi ningekubali offer yako kwani nami ninaishi na virusi hivyo lakini umri wangu ni miaka 50
 
Habari wana jf?mimi ni mwanamke wa miaka 31,naishi na virusi vya ukimwi,natafuta mchumba anaeishi na vvu kama mimi ili tufarijiane na tulinde wengine.Awe mkristo,kabila lolote na awe na shughuli inayomwingizia kipato,awe na miaka 30-36.nina elimu ya diploma na nimeajiriwa serikalini.naishi dar ila hata wa mikoani karibuni.kama uko serious nitumie email ansila.jotam@yahoo.com,naomba wana jf mnitie moyo kwa comments zenu na Mungu atawabariki.

baada ya kusoma hii thread nimehisi wewe ni mtu makini sana,Mungu akutangulie ukutane na haja yako.Jf members na jamii kwa ujumla inapaswa iige maamuzi kama yako..
 
Mungu atakupa dada ansila, na tena atakutumia msaada toka patakatifu pake ma dia
 
Back
Top Bottom