Mwanaume anaeishi na VVU.

Mwanaume anaeishi na VVU.

baada ya kusoma hii thread nimehisi wewe ni mtu makini sana,Mungu akutangulie ukutane na haja yako.Jf members na jamii kwa ujumla inapaswa iige maamuzi kama yako..
nashukuru sana.
 
Mwenyezi Mungu akujalie uweze kumpata mtakayeweza kuendesha maisha yenu kwa amani na upendo. Kimsingi maambukizi ya VVU ni kitu chaweza kumtokea mtu yoyote. All the best.
 
Mwenyezi Mungu akujalie uweze kumpata mtakayeweza kuendesha maisha yenu kwa amani na upendo. Kimsingi maambukizi ya VVU ni kitu chaweza kumtokea mtu yoyote. All the best.
thanks
 
Dada Mungu ni mkubwa sana atakuongoza kumpata mwenza wako Dear nimekupenda ghafla mpendwa.........

Ukitaka mengi ni PM dear
 
uzi huu umenionyesha kwamba kumbe watu huku love connect wanafanyaga vibweka tuu lakini deep down ni binadamu.
 
Kwani what if mimi mzima nikitaka kuwa na wewe.? It sound like you have truelove.!
 
Back
Top Bottom