Mwanaume anahitaji mwanamke malaika wakiwa sebuleni na mwanamke mtundu wakiwa chumban

Mwanaume anahitaji mwanamke malaika wakiwa sebuleni na mwanamke mtundu wakiwa chumban

kimbweka sikia nikuambie unaweza ukawa maarufu sana wa maneno matamu lakini ukifika uwanjani huna unaloliweza golli moja chali mpaka unakumbushwa kuamka upo hapo?

umenichekesha thax u have made my day mwe
 
kimbweka sikia nikuambie unaweza ukawa maarufu sana wa maneno matamu lakini ukifika uwanjani huna unaloliweza golli moja chali mpaka unakumbushwa kuamka upo hapo?

Ulishawahi kupigwa mbili bila kuchomoka
Mitafute uonje , ni mwendo wa saa 1 na nusu
Karibu utest
 
uliyosema ni kweli tupu lkn pia Mwanammke anahitaji mwanamme malaika wakiwa sebuleni na mwanamme mtundu wakiwa chumban

taratibu we mdada!nishawahi kuachwa mimi kwa mood swinging,siku najisikia kwenda Hardcore,siku ingine gentle na kumbe kote naenda alone.nikijaribu kuwasiliana,upande wa pili unakua haueleweki(sijui unaogopa kueleweka vibaya au vipi).mwisho wa siku nikatafutiwa sababu,nikaona isiwe ishu nikasepa fasta kabla ajaanza kupandisha sauti.so,mautundu yangu yanategemea mawasiliano,na kwenye mambo haya wadada hamko wazi sana.hebu fungukeni bana twende sawa!
 
Mkesha wa x-mas tupo pamoja na ndo mwanzo huo

hahahah lol sasa wewe una redbull, V au una energy drink gani??
maana mie napeleka kahawatu saa.....Long black coffee.. hahahah lol
karibu..
 
hahahah lol sasa wewe una redbull, V au una energy drink gani??
maana mie napeleka kahawatu saa.....Long black coffee.. hahahah lol
karibu..

Valuuuuuuuu
Ila usiweke kitambi eeeh
 
Valuuuuuuuu
Ila usiweke kitambi eeeh

hahahah lol ntakuje kitambi nawakati umeniweke ile punching bag hapo kibarazani..
halafu unapenda kuni kimbiza asubuhi asubuhi hahahahahah lol
si unajua tena ni summer got to sty in shape hahahhah lol😛arty:😛arty:
 
Mwanaume anahitaji mwanamke malaika sebuleni SHETANI chumbani.
 
watakachokuwa wanakifanya ndani ni cha kishetani lakini.


Hmmmm! Nilikuwa sijui kama kufanya mapenzi ni kitu cha kishetani....just a lady in the street and a freaky in the bed...but not Shetani LOL!
 
“The function of education is to teach one to think intensively and to think critically. Intelligence plus character – that is the goal of true education: Dr. Martin Luther King, Jr
 
"The function of education is to teach one to think intensively and to think critically. Intelligence plus character – that is the goal of true education: Dr. Martin Luther King, Jr

Imekuwasha eeh :A S-alert1:
 
VUTA HIYO YA KULIA ATA AINA AJA YA KUOMBA USHAURI USIKIMBIE MWENYEWE

14476-1.jpg
 
Back
Top Bottom