kimbweka sikia nikuambie unaweza ukawa maarufu sana wa maneno matamu lakini ukifika uwanjani huna unaloliweza golli moja chali mpaka unakumbushwa kuamka upo hapo?
kimbweka sikia nikuambie unaweza ukawa maarufu sana wa maneno matamu lakini ukifika uwanjani huna unaloliweza golli moja chali mpaka unakumbushwa kuamka upo hapo?
uliyosema ni kweli tupu lkn pia Mwanammke anahitaji mwanamme malaika wakiwa sebuleni na mwanamme mtundu wakiwa chumban
Asante :A S 101:
Mkesha wa x-mas tupo pamoja na ndo mwanzo huo
Valuuuuuuuu
Ila usiweke kitambi eeeh
Mwanaume anahitaji mwanamke malaika sebuleni SHETANI chumbani.
Hmmmm! Shetani tena hahahahaha! Mimi nadhani mtundu tu inatosha akiwa Shetani njemba inaweza ikaingia mitini.
YouTube - Usher ft. Lil Jon & Ludacris - Yeah! (Official Music Video)
watakachokuwa wanakifanya ndani ni cha kishetani lakini.