Mwanaume apigwa na mkewe

Mwanaume apigwa na mkewe

Nilivyodundwa na mama Kayai nikatangaza hazarani wengi hamkuamini,mnaona sasa? Kinababa amkeni tuchukue hatua hawa kinamama watatumaliza aisee.
 
sipati picha na huo mkitambi wako wakati unadundwa sijui ulikuwa unauficha wapi.
 
alinipiga ngwala,nikaanguka akanikandamiza hapo hapo,kidogo antoe roho,chezea mama kayaiii wewe.
 
Nahisi ni mchezo wa kugiza. Kule kwa akina Mura mtu angezikwa siku hiyo.
 
Back
Top Bottom