Mwanaume asie na gari wala nyumba

Mwanaume asie na gari wala nyumba

New York is 3 hours ahead of California, but it does not mean that California is slow or that New Yoke is fast. Both are working based on their time Zone.

Someone is still single and has a child, and someone got married and waited 10 years before they got their first child, and there is another who had a baby within a year of marriage.

Someone graduated at the age of 22 but waited 5 years before securing a Job, and there is another who graduated at 27 and secured employment immediately.

Someone became a CEO and died at 50, while another became CEO at 50 and lived till 80 years.

Everyone works based on their time zone. Everyone is in this World running their own race, within their own lane and their own time. Time is the difference!

Obama retired at 55, Trump resumed at 70..

Don't envy anyone or mock anyone, it's their Time Zone.. All things are working together for your Good, you're not late, you're not early, you're very much on Time..
 
Mwanaume mtafutaji hawezi uliza swal la kipuuzi kiasi hicho. Bila Shaka wewe unakaa kwa Dada ako tu. Vitu vya shemeji yako vinakutia wazimu mkuu. Mwanaume aliekamilika huwa mawazo ya kipuuzi
 
Tehteh ya baskeli au chumba nilichopanga
nataka picha ukiwa kwenye baskeli yako umeshika tecno yako [emoji23] na nyingine ukiwa chumbani juu ya kitanda chako
 
nataka picha ukiwa kwenye baskeli yako umeshika tecno yako [emoji23] na nyingine ukiwa chumbani juu ya kitanda chako
Haha ila huyu mdada katutukana saana... angalia pm nimerusha
 
Ivi gari ni kitu ganj mbona watu wanapagawa sana yan MTU anaona heli awe Na gari kuliko nyumba mambo mengne ni ufala sana
 
Katika dunia hii tunapita tu, tutakacho furahia uzeeni wala sio magari na nyumba lakini ni memories nzuri na goodtimes tulizopata wakati wa kuishi kwetu, hata uwe na kiwanda cha kutengeneza Lamborghini kabutini hutaenda na lambo utabebwa, na hata uwe na real estate kama kijiji utazikwa 6×6 ft.
Mimi baba yangu at 40s alikuwa na magari mawili binafsi na kampuni yake ilikua na magari nane, ila alizeeka akiwa hana hata pikipiki unaweza ukawa na gari na nyumba at 40 lakini at 60 ukawa hunavyotena, shukuru na furahia ulicho nacho
 
Binafsi nakaribia 40, sina mke, sina nyumba, sina gari, sina shamba, sina kiwanja na bado naji feel comfortable tu kwenye nyumba ya kupanga.... kwani natakiwa nijisikiaje?!..
Kupanga Ni kuchagua....enjoy the most of it....finali uzeeni.
 
Back
Top Bottom