Mwanaume asiye jua kupika???

asiyejua kupika ana raha yake bwana,hata visipoiva anakua hajui,na kwenye chai ukiweka chumvi anajua leo mke wangu amezidisha maujuzi,anachekelea tu.no challenges.
maana wanaojua kupika wanakazi kweli,kitu kidogo tu anaongea.
 
asiyejua kupika ana raha yake bwana,hata visipoiva anakua hajui,na kwenye chai ukiweka chumvi anajua leo mke wangu amezidisha maujuzi,anachekelea tu.no challenges.
Maana wanaojua kupika wanakazi kweli,kitu kidogo tu anaongea.

hapa umechemsha
 
kweli wewe taabu tupu. Sasa naanza rasmi utafiti wa kuhusianisha majina na mawazo ya wenye majina.
1.....
 
Aaaah hao madada wakatafute wakwao wa kupika nao hahaha lol! Hongera km ni kweli
 

hongera ivuga.
Napenda mwanaume anaejua kupika.
Mwanaume akipika mama anafua au amekunja nne anasoma gazeti.
 
Statistically all big chefs are men; Jamie Oliver, Gordon Ramsey, Jean Paul Lacombe, mimi (joking) to name just a few....
 
Wanaume wanatengeneza chakula wala hawapiki. Halafu wanaume mara nyingi ndio wanatengeneza chakula cha kwenye shughuli/sherehe maana kinatumia masufuria makubwa, si unajua wadada wanajifanya softi kiasi cha hata kuomba msaada wavunjiwe biskuti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…