Mwanaume asiyejielewa ni yupi?

Mwanaume asiyejielewa ni yupi?

Munguwetu

Member
Joined
Dec 13, 2022
Posts
87
Reaction score
80
Habarini wadungu wa JF

Huyu Mwanaume asiyejielewa ni yupi, anatabia zipi.

Wengi huelezea kijazba na kibinafsi baada ya kukutana na likulumbembe. Kumbe linajielewa.

Unakuta mwanamke mwenyewe hajielewi anataka mwanaume ajielewe. Hapo sielewi

Msaada hapo
 
Habarini wadungu wa JF

Huyu Mwanaume asiyejielewa ni yupi, anatabia zipi.

wengi huelezea kijazba na kibinafsi baada ya kukutana na likulumbembe. Kumbe linajielewa.

unakuta mwanamke mwenyewe hajielewi anataka mwanaume ajielewe. Hapo sielewi

Msaada hapo
Wewe ni mwanaume au mwanamke?

Tuanzie hapo kwanza
 
One drunk man is more intelligent than three women with PHD
Ungesema nguvu ningekuelewa, hatuwazidi akili wanawake aisee sema majority hawazitumiagi tu.. muulize samson (delila) na farao (cleopatra) wana habari ya hao viumbe

Af njoo hapabongo kuna k lyn, that b*tch wanted to take over the whole empire n shii 😂
 
Mwanamke mmoja anaitwa Cleopatra.

Is shit
 
Back
Top Bottom