Mwanaume asiyekwenda jando....

Maria Nyamhanga

Senior Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
130
Reaction score
25
Nisaidieni wajameni.. kuna madhara gani kufanya mapenzi na mwanaume asiyekwenda jando?
 
Labda ujaribu kufanya, halafu urudi hapa utueleze kama utakuwa umepata madhara ama laa!
 
Nisaidieni wajameni.. kuna madhara gani kufanya mapenzi na mwanaume asiyekwenda jando?
ama kweli ukiwa na mafikilio mafupi ni tatizo sana umalaya wa kufanya mambo haya ya kabla ya hatua ni kama haya kama hajafanyiwa jando sumwambie afanyiwe tu halafu ukome kabisa tabia ya kuleta jf siri zenu na yeye ukisikia anaongea au analeta mada ya kwamba demu wangu ana majimaji sana utajisikiaje ? koma kabisa mambo mengine muongee hukohuko tu mumalize nyienyie tu kama siyo malaya hakuna madhara ila kama malaya madhara yapo kwa dunia ya leo hata kafanya jando mwamume kama tabia ni mbaya hakuna faida
 
Jamani nilisahau kuwauliza madoctor.. najua mliojibu vibaya wote si fani yenu
siri katika hili yanini? si makabila yote au mataifa yote wanaingia jando. Nimeuliza kistaarabu tu wajameni.
 
Mbona jazba mkuu? mpaka povu linakutoka? hivi kwa akiliyako kila taifa wanautamaduni kama wako? na kama hukuwa na jibu ni heri ukae kimya tu acha wenye fani zao wajibu.
 
Asante La Biblicana kwa ushauri!! Nauliza ili nipate mwanga tu ili hata nikifikia wakati wa kuolewa nisiingie kwa hiyo shida.
 
Kama vile umechanganya kati ya kutahiriwa na jando. Nadhani ulikuwa unamaanisha kutahiriwa tuu na siyo jando?

Kutahiriwa inaweza kuwa sehemu ya jando, lakini jando ina maana pana zaidi.

Kwa mfano, katika sehemu nyingi za duania, watoto wa kiume hutahiriwa kwa sababu za kiafya.

Katika sehemu nyingine za dunia ni kawaida kwa wanaume kutotahiriwa kamwe.

Watu kama Wayahudi na Waislamu wanatahiriwa kwa sababu tofauti na za kiafya.

Wao wanaona kutahiriwa kuwa jambo lenye maana ya kidini zaidi.

Hata hivyo, katika mataifa mengine, sherehe ya kutahiriwa inafanywa kwa mtoto wa kiume anapokuwa mtu mzima.

Hii inaitwa kumpeleka jandoni, yaani, shule ya kitamaduni, ambako anatahiriwa na kutengwa na jamii kwa majuma fulani mpaka apone.

Akiwa huko jandoni anafundwa kwa kuwa jamii husika huwa zinaamini kuwa kutahiriwa ni kidhibitisho kuwa amekuwa mtu mzima.

Kwahiyo, kutahiriwa ni kuondoa tuu ile ngozi, lakini jando inahusisha kutahiriwa pamoja na mtoto huyo kufundwa kuwa mwanamume.

Kwa hiyo sidhani kama ulitaka kujua kama kuna madhara gani ya kufanya mapenzi na mwanaume ambaye hajaenda jando, aka hajafundwa kuwa mwanaume.
 
Nimeuliza kama kunamadhara yoyote hapo baadae au shida hiyo.

Madhara ya nini? Wabongo kujieleza tabu sana.

Wewe unaelewanaje maana ya jando?

Unadhani jando ni kukatwa govi na biashara kuishia hapo?
 
Madhara ya nini? Wabongo kujieleza tabu sana.

Wewe unaelewanaje maana ya jando?

Unadhani jando ni kukatwa govi na biashara kuishia hapo?

Nimekuelewa mkuu asante kama hakuna madhara...nilimaanisha kutahiri .
 

Duh makavu live
Haya mmalizie kabisa
Awache kumanga manga kwake
 
Nimekuelewa mkuu asante kama hakuna madhara...nilimaanisha kutahiri .

OK. Kutahiriwa kunasaidia kupungua kwa maambukizi ya Ukimwi na magongwa mengine ya kuambukiza.

Pia wanadai inapunguza athari za kupata kansa.

Kutahiriwa inaweza kuwa na madhara kama haijafanywa na mtaalamu wa kutahiri.

Kunaweza kuwa na bleeding, infections, nk. kwa hiyo bora kutahiriwa na mtu anayejua.

Kuondoa govi kunafanya kichwa kibakie wazi na hivyo kupunguza ile physical sensation wakati wa kujahimiana.

Kati ya wanaume watatu duniani, ni mmoja tuu ametahiriwa.
 
Mwanaume ambaye hajatahiriwa huwa anakuwa na utando fulani ndani ya vifuko kati ya kichwa cha dushelele na ngozi. Kwa kitaalamu unaitwa smegma. Utando huu unaweza kuingia kwenye viungo vya uzazi hususani shingo ya uzazi. Madhara ya muda mrefu ni uwezekano wa kupata saratani ya shingo ya kizazi.
 
Nisaidieni wajameni.. kuna madhara gani kufanya mapenzi na mwanaume asiyekwenda jando?
Hakuna madhara zaidi ya kuwahi yeye kufika kileleni na kukuacha na njaa yaani bila ya wewe ku-climax,maana hawa jamaa wako sensitve sana na hawana ujanja wa kufanya kwa muda mrefu.:glasses-nerdy:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…