Maria Nyamhanga
Senior Member
- Jun 14, 2011
- 130
- 25
Nisaidieni wajameni.. kuna madhara gani kufanya mapenzi na mwanaume asiyekwenda jando?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nisaidieni wajameni.. kuna madhara gani kufanya mapenzi na mwanaume asiyekwenda jando?
ama kweli ukiwa na mafikilio mafupi ni tatizo sana umalaya wa kufanya mambo haya ya kabla ya hatua ni kama haya kama hajafanyiwa jando sumwambie afanyiwe tu halafu ukome kabisa tabia ya kuleta jf siri zenu na yeye ukisikia anaongea au analeta mada ya kwamba demu wangu ana majimaji sana utajisikiaje ? koma kabisa mambo mengine muongee hukohuko tu mumalize nyienyie tu kama siyo malaya hakuna madhara ila kama malaya madhara yapo kwa dunia ya leo hata kafanya jando mwamume kama tabia ni mbaya hakuna faidaNisaidieni wajameni.. kuna madhara gani kufanya mapenzi na mwanaume asiyekwenda jando?
nakuuliza usiingie shida gani fikiri mbali usifikiri karibu nakusubili unijibuAsante La Biblicana kwa ushauri!! Nauliza ili nipate mwanga tu ili hata nikifikia wakati wa kuolewa nisiingie kwa hiyo shida.
Nimeuliza kama kunamadhara yoyote hapo baadae au shida hiyo.
hakuna madhara zaidi ya raha tuNisaidieni wajameni.. kuna madhara gani kufanya mapenzi na mwanaume asiyekwenda jando?
hakuna madhara zaidi ya raha tu
Madhara ya nini? Wabongo kujieleza tabu sana.
Wewe unaelewanaje maana ya jando?
Unadhani jando ni kukatwa govi na biashara kuishia hapo?
ama kweli ukiwa na mafikilio mafupi ni tatizo sana umalaya wa kufanya mambo haya ya kabla ya hatua ni kama haya kama hajafanyiwa jando sumwambie afanyiwe tu halafu ukome kabisa tabia ya kuleta jf siri zenu na yeye ukisikia anaongea au analeta mada ya kwamba demu wangu ana majimaji sana utajisikiaje ? koma kabisa mambo mengine muongee hukohuko tu mumalize nyienyie tu kama siyo malaya hakuna madhara ila kama malaya madhara yapo kwa dunia ya leo hata kafanya jando mwamume kama tabia ni mbaya hakuna faida
Nimekuelewa mkuu asante kama hakuna madhara...nilimaanisha kutahiri .
Hakuna madhara zaidi ya kuwahi yeye kufika kileleni na kukuacha na njaa yaani bila ya wewe ku-climax,maana hawa jamaa wako sensitve sana na hawana ujanja wa kufanya kwa muda mrefu.:glasses-nerdy:Nisaidieni wajameni.. kuna madhara gani kufanya mapenzi na mwanaume asiyekwenda jando?