basi pori la miba:scared:hakuna cha chaka wala nini.......
Kuoa ni nini? Unaweza ku define kuoa? Maana kuna definition tofauti za kuoa kwa watu tofauti. Wengine wanaweza kukwambia wanapenda kuoa usiku na kutaliki asubuhi. Sasa basi, ili ueleweke, inabidi u define kuoa ni nini.
Halafu unapoongelea muda muafaka, muda muafaka kwa nani? Obviously mtu kama hajaoa si muda muafaka kwake, sasa wewe unaongelea muda muafaka kwa nani? Kwako? Kwa sheria zisizoandikwa za kijamii zinazosema mwanamme akiwa na miaka fulani lazima awe kaoa? Kama mtu hataki kuoa kwa sababu anajijua atampiga mke wake, na hivyo nyeye si husband material utamtakaje kuoa? Kama mtu hataki kuoa kwa sababu akioa jamii itamtegemea apate watoto na yeye ana matatizo ya genetics, labda kichaa cha kurithisha, ambacho hataki kumrithisha mwanawe wala kumfanya mwanamke azae mtoto mwenye matatizo kama hayo, utamlazimishaje kuoa?
Kama mtu haoni maana ya maisha, na hivyo haoni maana ya kuoa na kutegemewa kuleta viumbe vingine duniani, utamlazimishaje kuoa?
Kama mtu anaamini dunia inazidisha watu kuliko uwezo wake wa kuwabeba, na hivyo inahitaji kupunguza uzazi, na yeye mchango wake muhimu kuhakikisha hilo linatokea ni kwa kutokuoa na kutokuzaa, utamlazimisha huyu naye aoe?
Kama mtu domo zege halafu mambo ya gender relations hayawezi, yeye mtu wa bwax na kazi zake, kashakuwa disappointed na kinadada, hana habari nao, utamlazimisha kuoa huyu?
Kwa nini watu wanapenda kuwapangia watu wengine maisha?

Sasa hapa unaondowa nuksi au unaingiza nuksi!!??.....siku hizi watu wanaingia kwenye hili zoezi 'kuondoa nuksi tu' baada ya hapo kila mtu anapuyanga kimpango wake
Sasa wewe umeajiliwa na nani hapa kuwa msemaji wa wengine? porojo nyingi mbele giza, yaani unataka kuwaaminisha watu hapa mambo yako yanaweza kunyooka kwa sababu ya kuoa! je unaoa SACCOS au ndio nyinyi mkiona tu binti ana kigari chake cha mkopo basi mnatangaza ndoa, matarajio yenu ya umarioo yasipotimia ndoa zinasambaratika!!Umeongea maneno mengi sana lakini sijaona hata 1 la maana hapo,mtoa mada kawakumbusha,wewe umeng'ang'ania kalawazimisha,kama wewe kuowa kwako ni mzigo waache wenye kuowa waowe,lakini usiwasemee wote kama msemaji wao,vijana kuowa muhimu,jambo 1 muhimu mtu akishaoa huwa linakuja automatically japo si kwa wote,mtu akishaoa mara nyingi mambo yake hunyooka kwa sababu mambo mengi ya upuuzi ataachana nayo automatically! Ila hata mimi bado sijaoa na nina 28yrs mungu akipenda soon ntavuta jiko,
jamani jamani.......
Umeongea maneno mengi sana lakini sijaona hata 1 la maana hapo,mtoa mada kawakumbusha,wewe umeng'ang'ania kalawazimisha,kama wewe kuowa kwako ni mzigo waache wenye kuowa waowe,lakini usiwasemee wote kama msemaji wao,vijana kuowa muhimu,jambo 1 muhimu mtu akishaoa huwa linakuja automatically japo si kwa wote,mtu akishaoa mara nyingi mambo yake hunyooka kwa sababu mambo mengi ya upuuzi ataachana nayo automatically! Ila hata mimi bado sijaoa na nina 28yrs mungu akipenda soon ntavuta jiko,
Habari JF..
Katika maisha kuna stages kadhaa hadi kufikia uzee kadri Mungu atakavyokupa maisha marefu...
Ivyo ni jukumu letu kama wanadamu kujipanga ili kuvuka kila steji..
Wazazi wamekua makini kuwasaidia vijana wao tangu kuzitafuta mimba zao;kuwazaa kuwalea na kuwasomesha...
Kwa wanaume unakuta kijana amesoma na amemaliza vzur stej zote na ana kazi nzuri...
Swali linakuja pale unakuta kijana amevuka miaka 30 na bado hajafikiria kuwa na mwenza wa maisha...kumekua na ongezeko kubwa sana la wanaume wasiotaka kuoa au akioa haoi kwa wakati muafaka...let's say anaoa kwenye 40's bila sababu zozote za msingi...hii inachangia kuja kuzaa wajukuu badala ya watoto;wanashindwa kutimiza majukum muhmu kwa watoto wao na ukizingatia magonjwa ya siku izi by 50 mzazi anaondoka...
Nawakumbusha vijana kujipanga mapema sio tu kikaz na kiuchumi bali pia na kifamilia...the earlier the better...