mwanaume asiyetaka kuoa

mwanaume asiyetaka kuoa

Kuoa ni nini? Unaweza ku define kuoa? Maana kuna definition tofauti za kuoa kwa watu tofauti. Wengine wanaweza kukwambia wanapenda kuoa usiku na kutaliki asubuhi. Sasa basi, ili ueleweke, inabidi u define kuoa ni nini.

Halafu unapoongelea muda muafaka, muda muafaka kwa nani? Obviously mtu kama hajaoa si muda muafaka kwake, sasa wewe unaongelea muda muafaka kwa nani? Kwako? Kwa sheria zisizoandikwa za kijamii zinazosema mwanamme akiwa na miaka fulani lazima awe kaoa? Kama mtu hataki kuoa kwa sababu anajijua atampiga mke wake, na hivyo nyeye si husband material utamtakaje kuoa? Kama mtu hataki kuoa kwa sababu akioa jamii itamtegemea apate watoto na yeye ana matatizo ya genetics, labda kichaa cha kurithisha, ambacho hataki kumrithisha mwanawe wala kumfanya mwanamke azae mtoto mwenye matatizo kama hayo, utamlazimishaje kuoa?

Kama mtu haoni maana ya maisha, na hivyo haoni maana ya kuoa na kutegemewa kuleta viumbe vingine duniani, utamlazimishaje kuoa?

Kama mtu anaamini dunia inazidisha watu kuliko uwezo wake wa kuwabeba, na hivyo inahitaji kupunguza uzazi, na yeye mchango wake muhimu kuhakikisha hilo linatokea ni kwa kutokuoa na kutokuzaa, utamlazimisha huyu naye aoe?

Kama mtu domo zege halafu mambo ya gender relations hayawezi, yeye mtu wa bwax na kazi zake, kashakuwa disappointed na kinadada, hana habari nao, utamlazimisha kuoa huyu?

Kwa nini watu wanapenda kuwapangia watu wengine maisha?

Umeongea maneno mengi sana lakini sijaona hata 1 la maana hapo,mtoa mada kawakumbusha,wewe umeng'ang'ania kalawazimisha,kama wewe kuowa kwako ni mzigo waache wenye kuowa waowe,lakini usiwasemee wote kama msemaji wao,vijana kuowa muhimu,jambo 1 muhimu mtu akishaoa huwa linakuja automatically japo si kwa wote,mtu akishaoa mara nyingi mambo yake hunyooka kwa sababu mambo mengi ya upuuzi ataachana nayo automatically!
 
Kuoa ni nini? Unaweza ku define kuoa? Maana kuna definition tofauti za kuoa kwa watu tofauti. Wengine wanaweza kukwambia wanapenda kuoa usiku na kutaliki asubuhi. Sasa basi, ili ueleweke, inabidi u define kuoa ni nini.

Halafu unapoongelea muda muafaka, muda muafaka kwa nani? Obviously mtu kama hajaoa si muda muafaka kwake, sasa wewe unaongelea muda muafaka kwa nani? Kwako? Kwa sheria zisizoandikwa za kijamii zinazosema mwanamme akiwa na miaka fulani lazima awe kaoa? Kama mtu hataki kuoa kwa sababu anajijua atampiga mke wake, na hivyo nyeye si husband material utamtakaje kuoa? Kama mtu hataki kuoa kwa sababu akioa jamii itamtegemea apate watoto na yeye ana matatizo ya genetics, labda kichaa cha kurithisha, ambacho hataki kumrithisha mwanawe wala kumfanya mwanamke azae mtoto mwenye matatizo kama hayo, utamlazimishaje kuoa?

Kama mtu haoni maana ya maisha, na hivyo haoni maana ya kuoa na kutegemewa kuleta viumbe vingine duniani, utamlazimishaje kuoa?

Kama mtu anaamini dunia inazidisha watu kuliko uwezo wake wa kuwabeba, na hivyo inahitaji kupunguza uzazi, na yeye mchango wake muhimu kuhakikisha hilo linatokea ni kwa kutokuoa na kutokuzaa, utamlazimisha huyu naye aoe?

Kama mtu domo zege halafu mambo ya gender relations hayawezi, yeye mtu wa bwax na kazi zake, kashakuwa disappointed na kinadada, hana habari nao, utamlazimisha kuoa huyu?

Kwa nini watu wanapenda kuwapangia watu wengine maisha?

Umeongea maneno mengi sana lakini sijaona hata 1 la maana hapo,mtoa mada kawakumbusha,wewe umeng'ang'ania kalawazimisha,kama wewe kuowa kwako ni mzigo waache wenye kuowa waowe,lakini usiwasemee wote kama msemaji wao,vijana kuowa muhimu,jambo 1 muhimu mtu akishaoa huwa linakuja automatically japo si kwa wote,mtu akishaoa mara nyingi mambo yake hunyooka kwa sababu mambo mengi ya upuuzi ataachana nayo automatically! Ila hata mimi bado sijaoa na nina 28yrs mungu akipenda soon ntavuta jiko,
 
huyo ni ******* au anaogopa kua hayawezi vizuri mambo
ila pia sio lazima wote waoe jamani khaa!
 
Kuoa ni majaliwa, bado haijafika siku zao za kuoa, ikifika wataoa tu.

Mimi nilitaka kuoa toka na miaka 15, lakini sikuoa mpaa nilipo fika miaka 25 😱
 
siku hizi watu wanaingia kwenye hili zoezi 'kuondoa nuksi tu' baada ya hapo kila mtu anapuyanga kimpango wake
Sasa hapa unaondowa nuksi au unaingiza nuksi!!??.....
Kila mtu ana haki yake ya kuchaguwa maisha anayotaka kuishi, si vyema kuingia kwenye ndoa kwa sababu ya presha ya ndugu na marafiki zako, mwisho wa siku mke anabaki kuwa mkeo na sio wa familia.
 
Umeongea maneno mengi sana lakini sijaona hata 1 la maana hapo,mtoa mada kawakumbusha,wewe umeng'ang'ania kalawazimisha,kama wewe kuowa kwako ni mzigo waache wenye kuowa waowe,lakini usiwasemee wote kama msemaji wao,vijana kuowa muhimu,jambo 1 muhimu mtu akishaoa huwa linakuja automatically japo si kwa wote,mtu akishaoa mara nyingi mambo yake hunyooka kwa sababu mambo mengi ya upuuzi ataachana nayo automatically! Ila hata mimi bado sijaoa na nina 28yrs mungu akipenda soon ntavuta jiko,
Sasa wewe umeajiliwa na nani hapa kuwa msemaji wa wengine? porojo nyingi mbele giza, yaani unataka kuwaaminisha watu hapa mambo yako yanaweza kunyooka kwa sababu ya kuoa! je unaoa SACCOS au ndio nyinyi mkiona tu binti ana kigari chake cha mkopo basi mnatangaza ndoa, matarajio yenu ya umarioo yasipotimia ndoa zinasambaratika!!
 
Ndoa ipo kama sindano ya viatu, inaingia kiulaini lakini lazima irudishe uzi na kipande cha ngozi wakati inarudi. Ndio maana wengi wanaogopa kundowaniwa.
 
Kuoa/kuoelewa sio lazima.
Ni kitu ambacho watu wanatakiwa kufanya pale wanapoona wanae mtu anaefaa kuwa mume/mke wa maana badala ya kuoa/olewa na matatizo kisa tu mtu anaishi maisha ya kufuata mkumbo. Mtajajuuuuuuta kuwafahamu hao mnaokurupuka kuwaoa/olewa nao ili tu na nyie muwe kwenye kundi la waliooa na kuolewa.
 
jamani jamani.......

ndio hivyo preta, inatokea unaempenda hakupendi unampenda asiyekupenda.. Ingekua ndoa unaamua tu unaoa/olewa na yoyote mambo yasingekuwa magumu.
Off topic: mzima wewe.
 
katika mademu niliowafanyia interview ya ndoa hamna aliyekidhi viwango vya kuwa mke!!!tatizo madem zetu wa mjini ndo hawa hawa leo shemeji yako kesho demu wako!!
 
Umeongea maneno mengi sana lakini sijaona hata 1 la maana hapo,mtoa mada kawakumbusha,wewe umeng'ang'ania kalawazimisha,kama wewe kuowa kwako ni mzigo waache wenye kuowa waowe,lakini usiwasemee wote kama msemaji wao,vijana kuowa muhimu,jambo 1 muhimu mtu akishaoa huwa linakuja automatically japo si kwa wote,mtu akishaoa mara nyingi mambo yake hunyooka kwa sababu mambo mengi ya upuuzi ataachana nayo automatically! Ila hata mimi bado sijaoa na nina 28yrs mungu akipenda soon ntavuta jiko,

Mtoa mada kaja hapa na template yake ya maisha ambayo anataka kila mtu aifuate, katuambia maisha yana "steji", na ni jukumu letu wanadamu kujipanga ili kuvukakila "steji".

Mie namuonyesha kwamba "steji" hizo anazoziona ni jukumu kuzivuka, kwa wengine si jukumu wala lazima.

Zaidi ya hapo, hajatueleza definition yae ya "kuoa" kwani tamaduni tofauti zinatafsiri "kuoa" tofauti.

Sasa watu kuanza kudiscuss "kuoa" bila hata kujua "kuoa" huku ni kuoa gani? Kuoa kisheria au kimila? Kuoa huku kunahusisha "common lawmarriage" au hakuhusishi? Kuoa huku ni kwa mwanamme tu, mwanamke anaolewa, au kama tamaduni nyingine hata mwanamke anaoa? et cetera et cetera.

Maana mtu anaweza kukaa na mwanamke wakazaa watoto na kufanya yote pamoja, bila ya kwenda kanisani, msikitini wala kwa mkuu wa wailaya, huyo kaoa au hajaoa? Common law inatambua ndoa, dini hatambui. Sasa kuoa kunakoongelewa hapa kupi?

Usitake ku simplify vitu zaidi ya vilivyo.
 
Habari JF..
Katika maisha kuna stages kadhaa hadi kufikia uzee kadri Mungu atakavyokupa maisha marefu...
Ivyo ni jukumu letu kama wanadamu kujipanga ili kuvuka kila steji..
Wazazi wamekua makini kuwasaidia vijana wao tangu kuzitafuta mimba zao;kuwazaa kuwalea na kuwasomesha...
Kwa wanaume unakuta kijana amesoma na amemaliza vzur stej zote na ana kazi nzuri...

Swali linakuja pale unakuta kijana amevuka miaka 30 na bado hajafikiria kuwa na mwenza wa maisha...kumekua na ongezeko kubwa sana la wanaume wasiotaka kuoa au akioa haoi kwa wakati muafaka...let's say anaoa kwenye 40's bila sababu zozote za msingi...hii inachangia kuja kuzaa wajukuu badala ya watoto;wanashindwa kutimiza majukum muhmu kwa watoto wao na ukizingatia magonjwa ya siku izi by 50 mzazi anaondoka...
Nawakumbusha vijana kujipanga mapema sio tu kikaz na kiuchumi bali pia na kifamilia...the earlier the better...

akili yangu ya utambuzi inaniambia kwamba huenda wewe ni mwanamke uliyekuwa na maringo enzi za usichana wako,sasa hivi umri umeenda na hupati bwana
 
yan mimi nimepita tuuuu ila bado saaaaaaaaaana nipo nipo
 
Back
Top Bottom