Mwanaume atakaye mnunulia mama yangu ndege ndio nitampa atoe bikira yangu "msanii"

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Muimbaji wa kike wa Nigeria, Adokiye Kyrian amesema bado ni bikira na ataendelea kuwa hivyo hadi pale atakapopata mwanaume sahihi.

Kwenye mahojiano na jarida la Vanguard, muimbaji huyo mrembo alisema: Hujawahi kuona msichana mrembo ambaye ni bikira? Mtu yeyote atakayemnunulia mama yangu ndege binafsi nimemuahidi (mama yangu) ataushika moyo wangu.”

Aliongeza kuwa haamini katika mapenzi na ana uhusiano na career yake tu. Amesema usanifu wa majengo (Architecture) ndiye mumewe muziki ndio boyfriend wake. Adokiye anaamini kuwa mapenzi ni hatari na kwamba hakuna mapenzi ya kweli. Akiwa na miaka 23 muimbaji huyo sasa ni balozi wa amani wa Umoja wa Mataifa.

 

upuuzi mtupu kama anaiona mali akaichukulie mkopa basi.... halafu ni bkr ya shimo lipi ? Usije kuta mbele tight rear exit break pu.mbu....!
Mambo mengine upuuuuuuzi mtuuupuuuuuu...!
 
...so kutoa bikira is not about Love anymore but about buying a Plane for mama eh? my my...!
 
kweli wanawake wanatufanya sisi wanaume watumwa wa papuchi
klazima kuna mijitu itajitokeza hapa!
 
Sijaelewa bado,bikra ya mbele ndege 1 na ya nyuma ndege nyingine,ukitoa zote anataka ndege mbili?,au zote anataka ndege moja?nijuzeni wakuu nifanye michakato....
 
Sasa nitahakikisha vipi anayo hiyo bikra kabla sijampa hiyo ndege, je akiniuzia mbuzi kwenye gunia ? atanipa kwanza nihakiki ama ? na siku hizi si nasikia zipo zile za kichina china...

Any way.......mjini shule...watu watatafuta hiyo ndege.....atapewa ndege na madokomenti yake yote.......baada ya zoezi la kubikiri....ndege inachukuliwa na majembe ya NAIJA............mwisho wa siku no ndege...no bikira....
 
Biashara matangazo dogo linapiga promo
 
Labda atolewe marinda ya kabang!

Tena hapo apate ka range sport
 
hahaaa kwani ukiwa nayo inakuaga matangazo??? dah haya mapya
 
bikra in exchange with ndege?

afu unachimba hio bikra kwa miaka 100 ama vipi?
 
Kwanza huyo mama ataihudumiaje hyo ndege? Au atatoa na bikra nyingine ya matunzo?

Miafrica ndo tulivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…