qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,380
Kwani hiyo papuchi yake ni dhahabu.....
Nobody dies a virgin coz at the end , the world will f.....ck all.
Nobody dies a virgin coz at the end , the world will f.....ck all.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona ni used tayari angalia nyonyo lilivyotela. Watu washatembelea kucha paleMuimbaji wa kike wa Nigeria, Adokiye Kyrian amesema bado ni bikira na ataendelea kuwa hivyo hadi pale atakapopata mwanaume sahihi.
Kwenye mahojiano na jarida la Vanguard, muimbaji huyo mrembo alisema: Hujawahi kuona msichana mrembo ambaye ni bikira? Mtu yeyote atakayemnunulia mama yangu ndege binafsi nimemuahidi (mama yangu) ataushika moyo wangu.
Aliongeza kuwa haamini katika mapenzi na ana uhusiano na career yake tu. Amesema usanifu wa majengo (Architecture) ndiye mumewe muziki ndio boyfriend wake. Adokiye anaamini kuwa mapenzi ni hatari na kwamba hakuna mapenzi ya kweli. Akiwa na miaka 23 muimbaji huyo sasa ni balozi wa amani wa Umoja wa Mataifa.
mke wa msukuma unasemaa?
Kwanza huyo mama ataihudumiaje hyo ndege? Au atatoa na bikra nyingine ya matunzo?
Miafrica ndo tulivyo.
Gharama za kuhudumia ndege kuanzia kulipa pilot, mafuta, services, bima,kodi etc ni kubwa zaidi sasa hapo sijui atatoa bikra nyingine
Kwan hujanisikiaaa hahhha
Ana bikira alafu kapiga picha maziwa nje?? Labda bikra ya kutengezwa
Rudia tena niskie, saile jirani alikuwa amefungulia radio kwa sauti ya juu sana
Subiri marudioooo jumamosiii
Gharama za kuhudumia ndege kuanzia kulipa pilot, mafuta, services, bima,kodi etc ni kubwa zaidi sasa hapo sijui atatoa bikra nyingine