Mwanaume Bila Pesa ni Sawa na Mboga bila mchumvi

Mwanaume Bila Pesa ni Sawa na Mboga bila mchumvi

Nyoka_mzee

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2016
Posts
3,695
Reaction score
5,531
Mwanaume Kutokuawa na Pesa Hakukufanyi usiwe mwanaume,
Ila na Ukiwa nazo Hunogesha na kuimarisha uwanaume wako,


Nyoka Mzee[emoji216]

Povu Ruksa
 
ukumbuke mboga ambayo haina chumvi hupendwa na wale wenye kisukari
 
Ni kweli babu wala si uwongo,Ila ni kujifunza kuridhika na ulichonacho kiongozi ,
IMG-20170718-WA0006.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mwanamke kuwa mzuri alfu hauna chura kazi yako kujiremba ni sawa na kupamba mavi maua
 
Sijui unatakiwa uwe na pesa kiasi gani ndo uwe mwanaume kamilli? Mwanaume n kuwajibika na kumridhisha mwananke

sending using jamiiforum makinikia
 
Back
Top Bottom