Mwanaume,Fuata njia hizi, Mwanamke hakukatai ng'oo

Nakumbuka hesabu za kugawanya shule ya msingi! Kuna njia ndefu na njia fupi ila zote unapata jibu, naona hii ni njia ndefu
 
Hapo labda kama unatafuta mwanamke wa kuoa Mkuu
ndiyo maana akasema mwanamke anayetaka mpenzi means mwanamke anayetaka mume (sio rahisi kumtobgoza kwa njia za kikawaida sana ,inahitaji technique zake) ,ngoja sisi tujaribu ila sio miezi miwili atleast mmoja
 
Miezi yote hiyo mbona mingi sana
 
Hiyo miezi miwili unayeweka nae urafiki kabla ya kumtongoza mwenzio kashakubali wanaume kama watano na kuachana nao wote, kibaya zaidi kati ya hao watano, wa3 aliowakubalia wameshakula papuchi.
 
mabinti wa sasa ivi wiki tu maana miezi miwili mingi sana
 
Hii mbinu mwanaume wa tanzania hii sidhani kama anaweza...yaani wanapenda chini kama wamerogwa
[emoji2] [emoji2] mie wiki tu na mzigo naomba sasa wew uniambie miezi miwili mweeeeee sitaweza
 
nina muda wakutafuta pesa tu lakini si kwa ujinga huo ,unatumia nguvu kubwa mwishoe mnabwagana
 
Simjui Khantwe mwingine zaidi yako, so it's u indeed...tell me when u free exactly?
Am not sure though I guess I'll have to postpone everything to have dinner with you [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Hii njia ni nzuri kama una gono au kaswende naana unakua hauna haraka ya kumkojolea coz hata akikupa hutoweza inabid uendenae taratibu had upone kwanza[emoji23] [emoji23]
 
Bana bana pesa sababu ya roho,jana nilikua mzuguko kidogo nikapita sehemu kula nikatumia kwel na pia sehemu ya maana duh warembo walikua wanatoa macho hatari na kuanza kutoa Hi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…