Mwanaume,Fuata njia hizi, Mwanamke hakukatai ng'oo

Mwanaume,Fuata njia hizi, Mwanamke hakukatai ng'oo

hivi huo muda wa kumfuatilia demu miez 2 na maisha haya unautoa wapi labda?
Au na ww ni mtoto wa mama nn?
 
Mkuu Kwani wewe ulitumia hizo njia kumnasa shemeji yetu?? Tuanzie hapo isije ukawa unacopy na kupaste bure...
 
Ni njia ndefu sema faida yake ni kwamba ukishaanza kumtusua Mara ya kwanza tu siku zinazofuata utakua unachenjua hiyo makinikia bila gharama yoyote mpaka utakapochoka
 
Huo muda wa kutongoza mwanamke miezi miwili unautoa wapi wakati papuche zipo kibao. Week tu inatosha asipokuelewa unahamia kwa mwengine
 
Nakushauri Mwanamme Njia Rahisi ya kumpata Mwanamke yeyote Mrembo unaetamani kuwa nae Ni moja tu we Tafuta hela,yaani uwe na Hela Isiyo ya mawazo,Mpatie hela yaani we mpatie tu hela narudia tena mpatie hela hutahangaika hata kumuomba namba Atakuomba yeye, na text atatuma yeye na kukupigia atakupigia yeye Hela ndo chambo cha mwanamke yeyote Hata kama una kibamia ukiwa na hela atakusifia kuwa una dushe balaa hela,hela hela
 
Kifupi unakuta mwanaume ana status nzuri tu lakini anakosa mwanamke anayejielewa.yaani wengine hadi wananiuliza sometimes mimi "hivi wewe unawapataje wanawake wazuri na wanaojimbua hivo".


Sasa leo nimeona ni vyema nikishare na nyinyi namna ya kumnasa demu hata awe ni anajitambua vipi!

1: Unapoomba namba ya simu hakikisha huombi kwa papara, yaani usioneshe kama una shida sana na usioneshe kama unataka kumtongoza, bali onesha kama unataka tu urafiki wa kawaida,yaani rafiki wa kuchati nae tu kawaida.

2: Akikupa namba leo kausha usimtafute leo leo, mtafute baada hata ya wiki,msalimie tu na umpigie, hapa uangalie na muda ambao unadhani mtu anakuwa free, sio kupiga simu asubuhi sana au mchana au usiku sana, piga mida ya saa mbili usiku,na usiongee nae zaidi ya dakika 5.

3: Hakikisha kila siku unamtumia msg mara 3 na kumpigia simu mara moja, yaani asbh mtakie asbh njema, mchana, jioni na usiku piga kumpa pole na heka heka za mchana, ongea nae si zaidi ya dakika 5 ili usimchoshe.

4: Hakikisha hutumii maneno ya mtaani sana mfano oya,inakuwaje,michongo vipi, barida, mzuka, haina kwere n.k. Tumia maneno mazuri ya busara mfano sawa, haya, umeshindaje, habari yako, n.k. yaani asikuone wewe hujitambui.

5: Weka nae urafiki wa kudumu kiasi kwamba awe anakumiss, na ukimtext asipojibu mtumie vocha hata ya buku. Ila angalia usitumie pesa sana.

6: Omba outing nae, na akikubali basi mpeleke sehemu tulivu yenye adabu na sio mnaenda bar, mkiwa huko ongelea zaidi maisha ya kawaida ya mwanadamu, usiongelee ishu za X wako kamwe, ishu za mapenzi usiongelee kabisa, weka vistory vya kuchekesha ili awe anafurahi na kukumiss mkitoka hapo.

7: Ukiwa unapiga nae stori kwenye simu usiwe unaongea sana, na hata mkiwa pamoja basi usiongee sana kama chiriku, pangilia maneno sana ya kuongea(waza kabla ya kusema).

Baada ya urafiki wa kama miezi miwili hivi, hapo sasa mtamkie wazi wazi kwamba unampenda tangu muda mrefu, na umtongoze kwa heshima sana. Nakuhakikishia hapo hachomoki hata kwa dawa.

NB: Mbinu hizi ni za kuwapata tu wanawake wanaojielewa, wanaotaka mwanaume/mpenzi na sio wanaotaka pesa. Kwa wale wanawake vicheche, we tumia pesa tu, ukimtongoza leo jioni basi kesho unamfunua..

Copi and Pesti
eb6a7186009ef5574f66c1c77407c24b.jpg

Manyangema mnakazi sana
 
Back
Top Bottom