Mik eternity
Senior Member
- May 13, 2017
- 120
- 68
yan na maanisha uz wa kesho uwe mkal kulko huuviatu tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yan na maanisha uz wa kesho uwe mkal kulko huuviatu tena?
kwan ham ya kupenda inaisha?Miezi miwili hapo hata hamu imeisha
kama n wa hit and run we toboka kwa hela tuHapo labda kama unatafuta mwanamke wa kuoa Mkuu
haina noma mkuuyan na maanisha uz wa kesho uwe mkal kulko huu
hata ndan ya mwezi 1hivi huo muda wa kumfuatilia demu miez 2 na maisha haya unautoa wapi labda?
Au na ww ni mtoto wa mama nn?
hapo sawakama n wa hit and run we toboka kwa hela tu
gudhaina noma mkuu
umeona eeh; utajikuta unaambiwa "you are late ungeniambia toka mwanzo, i was free and needy" hahahaDaaa mbinuuu hii ina hasaraa zake Miez2 time factor will cost you
Upo mammie?Unaonekana kit**bi sana ila sio sifa ujue
[emoji23]Hii mbinu mwanaume wa tanzania hii sidhani kama anaweza...yaani wanapenda chini kama wamerogwa
Kifupi unakuta mwanaume ana status nzuri tu lakini anakosa mwanamke anayejielewa.yaani wengine hadi wananiuliza sometimes mimi "hivi wewe unawapataje wanawake wazuri na wanaojimbua hivo".
Sasa leo nimeona ni vyema nikishare na nyinyi namna ya kumnasa demu hata awe ni anajitambua vipi!
1: Unapoomba namba ya simu hakikisha huombi kwa papara, yaani usioneshe kama una shida sana na usioneshe kama unataka kumtongoza, bali onesha kama unataka tu urafiki wa kawaida,yaani rafiki wa kuchati nae tu kawaida.
2: Akikupa namba leo kausha usimtafute leo leo, mtafute baada hata ya wiki,msalimie tu na umpigie, hapa uangalie na muda ambao unadhani mtu anakuwa free, sio kupiga simu asubuhi sana au mchana au usiku sana, piga mida ya saa mbili usiku,na usiongee nae zaidi ya dakika 5.
3: Hakikisha kila siku unamtumia msg mara 3 na kumpigia simu mara moja, yaani asbh mtakie asbh njema, mchana, jioni na usiku piga kumpa pole na heka heka za mchana, ongea nae si zaidi ya dakika 5 ili usimchoshe.
4: Hakikisha hutumii maneno ya mtaani sana mfano oya,inakuwaje,michongo vipi, barida, mzuka, haina kwere n.k. Tumia maneno mazuri ya busara mfano sawa, haya, umeshindaje, habari yako, n.k. yaani asikuone wewe hujitambui.
5: Weka nae urafiki wa kudumu kiasi kwamba awe anakumiss, na ukimtext asipojibu mtumie vocha hata ya buku. Ila angalia usitumie pesa sana.
6: Omba outing nae, na akikubali basi mpeleke sehemu tulivu yenye adabu na sio mnaenda bar, mkiwa huko ongelea zaidi maisha ya kawaida ya mwanadamu, usiongelee ishu za X wako kamwe, ishu za mapenzi usiongelee kabisa, weka vistory vya kuchekesha ili awe anafurahi na kukumiss mkitoka hapo.
7: Ukiwa unapiga nae stori kwenye simu usiwe unaongea sana, na hata mkiwa pamoja basi usiongee sana kama chiriku, pangilia maneno sana ya kuongea(waza kabla ya kusema).
Baada ya urafiki wa kama miezi miwili hivi, hapo sasa mtamkie wazi wazi kwamba unampenda tangu muda mrefu, na umtongoze kwa heshima sana. Nakuhakikishia hapo hachomoki hata kwa dawa.
NB: Mbinu hizi ni za kuwapata tu wanawake wanaojielewa, wanaotaka mwanaume/mpenzi na sio wanaotaka pesa. Kwa wale wanawake vicheche, we tumia pesa tu, ukimtongoza leo jioni basi kesho unamfunua..
Copi and Pesti
![]()
Kutongoza hakuna formula..!Hii mbinu mwanaume wa tanzania hii sidhani kama anaweza...yaani wanapenda chini kama wamerogwa