Mwanaume halisi

Wanaume halisi Hahongi.
Kuhonga au kutohonga kuna tegemea na economic status ya mtu na mtu

Kama akaunti yako inasoma Bilion + kuhonga gari kama vits ni kawaida sana ni kama pesa ya karanga tu haiyumbishi uchumi
 
hali chips mayai na michuzi ya konokono na kulals
 
Hanyoi kiduku, hafugi nywele, havai cheni bangili kacha, hatoboi masikio, havai mlegezo, hatumii mda mwingi kujipamba japo yuko smart, hana hasira
Ww mkali san mkuu mwambie kbxa maaan anataka kutudanganya kbxa. Kiduk vp
 
mwanaume halisi hafoji vyeti ana hustle kupata vyake halaliiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…