Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Kuhonga au kutohonga kuna tegemea na economic status ya mtu na mtuWanaume halisi Hahongi.
Kama akaunti yako inasoma Bilion + kuhonga gari kama vits ni kawaida sana ni kama pesa ya karanga tu haiyumbishi uchumi