Mwanaume Hana Moods

....huwa najiuliza mara nyingi,...kwanini wanawake wetu wa kibantu ikifikia hali hii nao huwa wanyonge
badala ya kumface 'mtuhumiwa' na kumuuliza kulikoni?....

hapana, ngoja ngoja huumiza matumbo...no wonder wengi wenu 'mnabakwa' kwenye ndoa...
Badilikeni kabla usiku wa manane hamjakurupushwa na "...geukia huku!"
 

inaonekana Dena ameshajishusha mpaka ana2ma na watoto lakini daddy kagoma...afanyaje tena?
 
jamani mahusiano ni magumu nayo. Inataka moyo sana kuyaendesha kwa mafanikio. tatizo kubwa linakuwa moja...kila siku ina mabo mapya!!

Hapa sitii wala siongezi neno maana naweza kuharibu
 
Dena popote pale ulipo.........

Waweza turuhusu sasa tuhamishie chat room kwenye hii sredi ya mood?
 
Nyamayao.

Natamani mama watoto wangu atembelee hili JF asome hizi nondo za uhakika.Nikichelewa nyumbani saa 4 - 5 nanuniwa na kutakiwa kutoa maelezo ya kina wakati ukweli uko wazi nilikuwa bar na tayari nimeshalewa.



 
Kutakuwa na jambo linamtatiza...jaribu kutafuta chanzo chake...
 
Wapendwa MMU habari zenu nimewamiss mjue? Mimi nashida na shida iko kwa my huby ana mood mbaya plz help haongelesheki kamwe! (msinitukane tafadhali nawaomba)
andaa pakupumulia mapema usije ukajizimikia akikumwaga
 
Hahahaha........

Mkuu kwenye ile sredi ya wachakachuaji sijui kwanini walikusahau.....khaa!

ha haaa Uporoto alinitaja halafu akasahau kukutaja Chairman...wao...
akaja Sweatlady secretary wako kuandika list upya lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…