Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,075
acha kumsingizia kaka yangu bana! we ndo unamkorofisha ukishapiga valuu zako kisha unakuja kumshtakia hapa! tena ngoja nimpigie simu!My dear mood haziishi? Nifanyaje Love?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha kumsingizia kaka yangu bana! we ndo unamkorofisha ukishapiga valuu zako kisha unakuja kumshtakia hapa! tena ngoja nimpigie simu!My dear mood haziishi? Nifanyaje Love?
...lohhh,...haahha...mwj1 hiyo gubu mbona umeisisitiza hivyo?
jamaa amejikaza kisabuni, anakufa na tai yake shingoni...
hizo wiki tatu ina maana unampikia anakula, mnalala kitanda kimoja,
labda mnadrive wote kwenda na kurudi kazini...mnh?
hapana bana,...jishushe tu yaishe...
Halafu wewe?????
Kwa ruhusa hii naomba kuulizaSi unajua tena mzee wa infiii mpaka page 500 RUKSA
Kwa ruhusa hii naomba kuuliza
Eti chipsi ni mayai au mayai ni chipsi kavu?
kuna wakati nakufukuriaga mpaka nasema may b haikuwa akili yako(upendo/mapenzi ulikufunika macho/mackio)...kuna wanaume wanapata wanawake jamani, MJ1 huyu wako atakukumbuka sana sana 2, khaaa, aisee! huko aliko nahic anatamani cku zirudi nyuma sema ndio hivyo tena, huko mbeleni natamani akutane na kina Nyamayao, hivi wewe ungeweza kurudiwa asubuhi mfululizo bila kuuliza na anakuta umemuandalia kila kifaacho kwa ofc na maisha yanasonga na roho hainish2ki? (nilifanya 2 kutoa taarifa kwao kwamba huyu binadamu cku hizi alali home so kikitokea cha kutokea tutashirikiana kulipokea) hakuna cha kuuliza upo wapi?/utarudi?/umetoka wapi?....akajiuliza huyu m2 hana habari na mie tena nn? wacha bwana wa2 2mepitia aisee, nashukurugi kwa hii roho niliyonayo.....
andaa pakupumulia mapema usije ukajizimikia akikumwagaWapendwa MMU habari zenu nimewamiss mjue? Mimi nashida na shida iko kwa my huby ana mood mbaya plz help haongelesheki kamwe! (msinitukane tafadhali nawaomba)
Hahahaha........chips kavu ndo ipi hiyo??
ukiweka tomato sauce na kachumbari bado ni chips kavu?????/lol
inaonekana Dena ameshajishusha mpaka ana2ma na watoto lakini daddy kagoma...afanyaje tena?
Hahahaha........
Mkuu kwenye ile sredi ya wachakachuaji sijui kwanini walikusahau.....khaa!