Hahahaha.......... dah! kutoka mfadhili mkuu mpaka kuwa chairman inaelekea kiwango changu kimeshuka.ha haaa Uporoto alinitaja halafu akasahau kukutaja Chairman...wao...
akaja Sweatlady secretary wako kuandika list upya lol
Yaani inakuwaje au wakati gani anakuwa haongelesheki?Au unambania?Wapendwa MMU habari zenu nimewamiss mjue? Mimi nashida na shida iko kwa my huby ana mood mbaya plz help haongelesheki kamwe! (msinitukane tafadhali nawaomba)
Bora kwa mbele manake ingekuwa kwa nyuma kisingeeleweka!Asprin na The Boss nawaangalia tu kwa mbele
Valuu inaingia kichwani au tumboni?Ha ha ha BAbu bana kwani ile valuu bado iko kichwani???
Wapendwa MMU habari zenu nimewamiss mjue? Mimi nashida na shida iko kwa my huby ana mood mbaya plz help haongelesheki kamwe! (msinitukane tafadhali nawaomba)
unataka nikutetee tu,hata yanayomhusu kaka yangu,damu nzito bana......Nahisi kuna mtu kaiba password ya Bishanga
Yaani kabisa huna watu nje ya JF wanaoweza kukupa msaada wa kimawazo na wa kihali hadi uje uweke matatizo yenu ya ndani kwenye hadhira ya JF?
The Boss,leo kitandani ulipoamka ulitanguliza mguu gani...maana....nahisi hiyo ndoa wewe umeishikilia zaidi
yeye keshachoka lakini hana namna.....akipata namna huyo hutamuona.....
Halafu Dena amekimbia but tungempa ushauri mzuri zaidi....
kuna faida nyiingi za 'kuachana kwa wema' mapema kuliko
kuvumilia kero....faida moja ni uwezekano mkubwa wa kurudiana kwa moto mpya...
wanaume huwa hatununi bana,huyo ana madili yake anatafakari wewe unamwazia visivyo. Mambo yakitiki atachangamka tu VUTA SUBIRA.Wapendwa MMU habari zenu nimewamiss mjue? Mimi nashida na shida iko kwa my huby ana mood mbaya plz help haongelesheki kamwe! (msinitukane tafadhali nawaomba)
Ha ha ha aisee siamini kama umeniruka futi mia na wakati wewe ndo mtetezi wangu