Mwanaume Hana Moods

Mwanaume Hana Moods

ha haaa Uporoto alinitaja halafu akasahau kukutaja Chairman...wao...
akaja Sweatlady secretary wako kuandika list upya lol
Hahahaha.......... dah! kutoka mfadhili mkuu mpaka kuwa chairman inaelekea kiwango changu kimeshuka.

Ngoja nikapige tizi manake Klorokwini hachelewi kunifuta uanachama
 
Wapendwa MMU habari zenu nimewamiss mjue? Mimi nashida na shida iko kwa my huby ana mood mbaya plz help haongelesheki kamwe! (msinitukane tafadhali nawaomba)
Yaani inakuwaje au wakati gani anakuwa haongelesheki?Au unambania?
 
Wapendwa MMU habari zenu nimewamiss mjue? Mimi nashida na shida iko kwa my huby ana mood mbaya plz help haongelesheki kamwe! (msinitukane tafadhali nawaomba)

Hata mi nimekumiss ujue!!
Hapa inaonekana umelikoroga shosti....
Kuwa mpole, mkumbushie michezo yenu ya kipindi kileeee!
Limeisha hilo, si unajua udhaifu wetu sie!
Mengine utani-PM..... sawa eh
 
Hata mi nimekumiss ujue!!
Hapa inaonekana umelikoroga shosti....
Kuwa mpole, mkumbushie michezo yenu ya kipindi kileeee!
Limeisha hilo, si unajua udhaifu wetu sie!
Mengine utani-PM..... sawa eh

Haya ngoja niku PM
 
Yaani kabisa huna watu nje ya JF wanaoweza kukupa msaada wa kimawazo na wa kihali hadi uje uweke matatizo yenu ya ndani kwenye hadhira ya JF?

aaaaaaa NyaniNgabu bana.....hii ni hadhara kweli? huoni kila mtu anachungulia tokea nyuma ya pazia,hunijui sikujui,tena ukisikia uchochoro huu ndo uchochoro hasa,tunapishana gizani tu Mkuu.
 
Halafu Dena amekimbia but tungempa ushauri mzuri zaidi....
kuna faida nyiingi za 'kuachana kwa wema' mapema kuliko
kuvumilia kero....faida moja ni uwezekano mkubwa wa kurudiana kwa moto mpya...

e bana eee la kuachana bado umelishikia bango? kuna watu wanakuwa 'rattled'.
 
Wapendwa MMU habari zenu nimewamiss mjue? Mimi nashida na shida iko kwa my huby ana mood mbaya plz help haongelesheki kamwe! (msinitukane tafadhali nawaomba)
wanaume huwa hatununi bana,huyo ana madili yake anatafakari wewe unamwazia visivyo. Mambo yakitiki atachangamka tu VUTA SUBIRA.
 
Ha ha ha aisee siamini kama umeniruka futi mia na wakati wewe ndo mtetezi wangu

shem,mimi na wewe tena? tukikabiliwa na adui si huwa tunaingia wote kwenye handaki,ni hapo tu linapokuja suala la familia ndo kidooooogo nakukacha...hahahahaa ni katika kujenga shem.
 
shem,mimi na wewe tena? tukikabiliwa na adui si huwa tunaingia wote kwenye handaki,ni hapo tu linapokuja suala la familia ndo kidooooogo nakukacha...hahahahaa ni katika kujenga shem.

Hapa nimekubali
 
Back
Top Bottom