BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
akipumzika mazima je mm hata cwez ningefanya juu chini hadi angeongelesheka tu
sio lazima iwe hivyo...
wapo watu wanaachana kwa wema
na wapo wengi tuu..
Ninapotaka mimi ni hapo tuu
Shangaa my love halafu ww umeanza tabia ya WL ya kutopokea cmu kwnn? Jibu nilale
Duh una maswali kama asikari magereza? Kha?.!