Mwanaume Hana Moods

Mwanaume Hana Moods

sio lazima iwe hivyo...
wapo watu wanaachana kwa wema
na wapo wengi tuu..

yeah lakini siku zote mkiachana tunaamini huwa kuna maisha baada ya hapo na kila mtu huwa anatarajia atafanikiwa katika maisha na mahusiano , hivyo huwa kama kuna mashindano fulani ya muonekano wa kuthibitisha nani alikuwa tatizo au alikuwa anakwamisha mambo fulani ndani ya ndoa
 
Alwayz namna ya kuishi na mtu wa aina hii akiwa kwenye moods zake mfanyie kitu kitakachomfurahisha, kama mmeishi muda mrefu lazima utajua pa kumpatia tu
 
Mi nilidhani mtu akiwa hana moods anakuwa mtu mzuri sana na akiwa anazo moods ndio mtu mbaya kumbe pia kuna wenzetu wanapenda waume zao wawe na moods au mie sijaelewa wajameni
 
Mi nilidhani mtu akiwa hana moods anakuwa mtu mzuri sana na akiwa anazo moods ndio mtu mbaya kumbe pia kuna wenzetu wanapenda waume zao wawe na moods au mie sijaelewa wajameni

BB usiombe kukutana nae huyu ni balaa
 
DA any update please ..nataka nianze kufunga na kuomba kwa ajili yako sweetheart
 
jamani mahusiano ni magumu nayo. Inataka moyo sana kuyaendesha kwa mafanikio. tatizo kubwa linakuwa moja...kila siku ina mabo mapya!!
 
Back
Top Bottom