Mwanaume Hanithi anayehitaji mke

Mwanaume Hanithi anayehitaji mke

Hanithi ni mwanaume ambaye adindishi ama ambaye anadindisha ila mbegu zake hazina uwezoo wa ............?
 
Mi namtaka sema siko tayari kuoa kwa sasa hivi laba ukinivumilia ka miaka sita maana ndo Nina miaka 21 sa hivi
 
Kwa hiyo kwa mfano, akaja hanithi ukaishi naye say mwaka, baada ya mwaka Mungu akamuona uhanithi ukapotea, je utaendelea naye ama utalipokea dudu kwa moyo wako wote na miuno yako yote.?
akikujibu utaniita
 
Back
Top Bottom