Mamy kulikoni tena
Haaaaaaaaa haaaaaaaaaaaa roy nimecheka wewe
sir za ndan mbona watoa nje jaman?ndo yale yale wa jamaa yule kwenye ile post ingne
nakununia ndan tukitoka nje kicheko kireeeeeeeeeeeeeefu kuna ubaya gan sweeeeeeeetie..
...na nshakwambia no gaun no ndoa ..ist clear???hp u heard me correctly...i repeat t..
I WANT BAZEE,KONKOO,KIBANIO CHA NYWELE AS U KNW I HV GT A LOOOOOOOOOOOOONG HAIR..
na leo ukilala kwa mam bg utantambua cz bg wake nshamrudshia tl sec semester...mwanaume gan wewe ata kukopa kwa dig dig finest imekushnda????
ahh mi nataka niamie kwa bg ....
hahhaaaaaa hahahh ndo manake
unakuwa unamega kisera kwa rr mipango kwako matumiz..hautak???
spare tyre ina ubatya gan....?faida nyng sana kwanza hautumik sana na ivi nakujua wewe mvivu bas kuwa spare tyre ndo kunakufaaa...lakin usiwe km maadui zake maty wale marioooooooooooo!!!!!!!!!
uyoga vp sasa babu wewe nakuona unambwelambwela tu apa mpango kamili hautoi..NTAKUNUNIA....!!!!!!
Hivi Rose, uyoga wa type gani utakupendeza wewe kati ya ule wa sumbawanga, au ule wa manyovu (kigoma)?niambie mapema ili nifanye logistics za kukuletea.
apana sweeeeeeeetie apo sjakusutaHii si ndo inaitwa kusutwa? :nono::nono::nono:
wowote utakaopata
uyoga ni uyoga.
Hapo kwenye bold..........kama nakuona vile ukiwa umenuna..............tehtehtehteh!
usikonde, wa kigoma utakufaa!du siku hizi napewa masharti magumu kama naenda kukopa IMF!!!!!!mi najua tu nisipoleta huo uyoga ndo nakuwa nishanyimwa hivooo,,,,,,,!!!!
tena utanyimwa haswa...ata kukonyeza stakukonyeza teeeeeeeeeeena!!!!!!
usisahau na plpil mbuzi..!!!!!!!!!!!
Hii si ndo inaitwa kusutwa? :nono::nono::nono:
Wanaume kununa kupo ila kupo tofauti sana na kununa kwa wanawake.Wakati ambapo mwanamke anaweza kununa mwezi kama kaudhiwa,ili abembelezwe maana kudeka pia ni hulka ya wanawake wengi. Mwanaume si mara nyingi kufanya hivyo. Mwanaume anayenuna hata wiki moja huyo ni kazi sana kuishi naye!
Kwa kawaida mwanamke ananuna kama njia ya kutoa ujumbe wa kutoridhika na jambo.Ukiona mwanaume kanuna hasemi naye anaweza kuwa anatoa ujumbe kuwa kuna kitu hakiko sawa ila anajua akianzisha mjadala utaishia vibaya. Katika hali kama hiyo, mwanamke mwenye kuelewa na kutaka kusawazisha mambo basi atachukua jukumu kuanzisha mazungumzo na mara nyingi mwanaume atafunguka, wataongea na kumaliza mambo.Mwanaume ambaye bado ataendelea kununa basi huyo hana nia njema na uhusiano.
ATA KIDOGO
kanuni ya 4 ya maisha yangu inasema KINUNO KWANGU MWIKO
--km kuna vanga linachezwa ..km ulikosea kifungu cha katiba unaelekzwa then shangwe tu km kawa...nimenuna apa ndani nimetoka nje gari pwaaaaaaa nimeded aya niambie ntaiona mbngu mimi?unaenda kwa sa god na vnyongo milion moyon ahaaaa mistak ivo bana...happppppppy ..happppy always.....
niaje lakin?
idd?
Bro hata awe amekosa nini kununa sio staili ya kidume cha mbegu
Aaa kweli, sasa Rose mbona mtakuwa mnatuone hapa ....... yaani mnaju hata mkifanya ninimwanaume kweli hanun ..et siku 5 hamuongei??
km ana hasira sana atatoka ataenda ukooo badaye atarud mtalizungumzia tatizo
ukiona kakununia et wiki mmh jaman ..uenda naye alikuwa anatafuta kaoportunity falan ivi juu ya kitu faln ivi..
wanawake mara nyng ndo wananuna...wanaume wanapenda kuclear tatizo once n 4ol...
WoS sasa si inabidi anune mpaka ujumbe ufike, si wajua akidada wengine pia ni korofi, haulizwi mtu kitu, wote kimya tu ....Wanaume kununa kupo ila kupo tofauti sana na kununa kwa wanawake.Wakati ambapo mwanamke anaweza kununa mwezi kama kaudhiwa,ili abembelezwe maana kudeka pia ni hulka ya wanawake wengi. Mwanaume si mara nyingi kufanya hivyo. Mwanaume anayenuna hata wiki moja huyo ni kazi sana kuishi naye!
Kwa kawaida mwanamke ananuna kama njia ya kutoa ujumbe wa kutoridhika na jambo.Ukiona mwanaume kanuna hasemi naye anaweza kuwa anatoa ujumbe kuwa kuna kitu hakiko sawa ila anajua akianzisha mjadala utaishia vibaya. Katika hali kama hiyo, mwanamke mwenye kuelewa na kutaka kusawazisha mambo basi atachukua jukumu kuanzisha mazungumzo na mara nyingi mwanaume atafunguka, wataongea na kumaliza mambo.Mwanaume ambaye bado ataendelea kununa basi huyo hana nia njema na uhusiano.
Nimekusoma, ukizidisha siku tanu noma! hapo kwenye nyekundu ni kwanini inakuwa hivyo? FL1Wanaume bwana huwa hawanuni zaidi ya siku tatu ..hawapendi malumbani lakini sisi kina mama unaweza kununa mpaka sura inaanza kupoteza mvuto
sijui tukoje sie