Mwanaume Hanuni!

Mwanaume Hanuni!

Haaaaaaaaa haaaaaaaaaaaa roy nimecheka wewe
sir za ndan mbona watoa nje jaman?ndo yale yale wa jamaa yule kwenye ile post ingne
nakununia ndan tukitoka nje kicheko kireeeeeeeeeeeeeefu kuna ubaya gan sweeeeeeeetie..
...na nshakwambia no gaun no ndoa ..ist clear???hp u heard me correctly...i repeat t..
I WANT BAZEE,KONKOO,KIBANIO CHA NYWELE AS U KNW I HV GT A LOOOOOOOOOOOOONG HAIR..
na leo ukilala kwa mam bg utantambua cz bg wake nshamrudshia tl sec semester...mwanaume gan wewe ata kukopa kwa dig dig finest imekushnda????
ahh mi nataka niamie kwa bg ....

Hii si ndo inaitwa kusutwa? :nono::nono::nono:
 
hahhaaaaaa hahahh ndo manake
unakuwa unamega kisera kwa rr mipango kwako matumiz..hautak???
spare tyre ina ubatya gan....?faida nyng sana kwanza hautumik sana na ivi nakujua wewe mvivu bas kuwa spare tyre ndo kunakufaaa...lakin usiwe km maadui zake maty wale marioooooooooooo!!!!!!!!!
uyoga vp sasa babu wewe nakuona unambwelambwela tu apa mpango kamili hautoi..NTAKUNUNIA....!!!!!!

Hivi Rose, uyoga wa type gani utakupendeza wewe kati ya ule wa sumbawanga, au ule wa manyovu (kigoma)?niambie mapema ili nifanye logistics za kukuletea.
 
Hivi Rose, uyoga wa type gani utakupendeza wewe kati ya ule wa sumbawanga, au ule wa manyovu (kigoma)?niambie mapema ili nifanye logistics za kukuletea.

wowote utakaopata
uyoga ni uyoga.
 
Hii si ndo inaitwa kusutwa? :nono::nono::nono:
apana sweeeeeeeetie apo sjakusuta
apo nilikuwa tu nakukumbusha majukumu yakokwa MAHABA MAZITO.kusutwa aujasutwa bado na astarajii...nkusute wewe tena lahazizi afu vidig dig ntavifanyaje sasa?
siwez nkakusuta LABDA MMPK PALE UTAKAPOSHNDWA KUNITIMIZIA MATAKWA YANGU KM NILIVYOHAINISHA APO JUU!!!!!
usisahau na za rangi ya GOLD ennh??????
 
wowote utakaopata
uyoga ni uyoga.

usikonde, wa kigoma utakufaa!du siku hizi napewa masharti magumu kama naenda kukopa IMF!!!!!!mi najua tu nisipoleta huo uyoga ndo nakuwa nishanyimwa hivooo,,,,,,,!!!!
 
Hapo kwenye bold..........kama nakuona vile ukiwa umenuna..............tehtehtehteh!

hahah hahahaaaaaaa kaz kweli kweli
mwombe roy anipge picha nikiwa nimemnunia akuletee uone...namacho yote nafumba nakwambia.....!!!!!!!!!!
 
usikonde, wa kigoma utakufaa!du siku hizi napewa masharti magumu kama naenda kukopa IMF!!!!!!mi najua tu nisipoleta huo uyoga ndo nakuwa nishanyimwa hivooo,,,,,,,!!!!

tena utanyimwa haswa...ata kukonyeza stakukonyeza teeeeeeeeeeena!!!!!!
usisahau na plpil mbuzi..!!!!!!!!!!!
 
tena utanyimwa haswa...ata kukonyeza stakukonyeza teeeeeeeeeeena!!!!!!
usisahau na plpil mbuzi..!!!!!!!!!!!

rr ajaniletea gaun la skukuu jana basi nimempa kinuno cha masaa 120!!!!!!!
sasa wewe usipoleta uyoga ntakupa kinuno mara mbl ya apo............
 
Ivi kumchunia ndo kununa au?

Ka kauuzi kwanini usimchunie/mpotezea?
 
Wanaume kununa kupo ila kupo tofauti sana na kununa kwa wanawake.Wakati ambapo mwanamke anaweza kununa mwezi kama kaudhiwa,ili abembelezwe maana kudeka pia ni hulka ya wanawake wengi. Mwanaume si mara nyingi kufanya hivyo. Mwanaume anayenuna hata wiki moja huyo ni kazi sana kuishi naye!

Kwa kawaida mwanamke ananuna kama njia ya kutoa ujumbe wa kutoridhika na jambo.Ukiona mwanaume kanuna hasemi naye anaweza kuwa anatoa ujumbe kuwa kuna kitu hakiko sawa ila anajua akianzisha mjadala utaishia vibaya. Katika hali kama hiyo, mwanamke mwenye kuelewa na kutaka kusawazisha mambo basi atachukua jukumu kuanzisha mazungumzo na mara nyingi mwanaume atafunguka, wataongea na kumaliza mambo.Mwanaume ambaye bado ataendelea kununa basi huyo hana nia njema na uhusiano.

jamani mimi sikumbuki lini nimenuniwa.................. hata kama kukiwa na kutokuelewana kidogo, lazima yeye ndo ataanza kunisemesha hata muda haujapita. sometimes bado nina mahasira yangu, mtu anaanza kujisemesha
 
ATA KIDOGO
kanuni ya 4 ya maisha yangu inasema KINUNO KWANGU MWIKO
--km kuna vanga linachezwa ..km ulikosea kifungu cha katiba unaelekzwa then shangwe tu km kawa...nimenuna apa ndani nimetoka nje gari pwaaaaaaa nimeded aya niambie ntaiona mbngu mimi?unaenda kwa sa god na vnyongo milion moyon ahaaaa mistak ivo bana...happppppppy ..happppy always.....
niaje lakin?
idd?

Yaani una tabia kama zangu vile, kununa huwa nachukulia kama tatizo la kiakili flani hasa kama ni dume limenuna..
Wakati tunasoma kuna jamaa alikuwa akininunia kila nikimzidi Maksi, bahati mbaya nilikuwa sipangi mimi ila ndo hivyo inatokea tu.. aisee nilikuwa namhurumia kweli:smile-big::smile-big:
Shwari tu Mrembo, Idd ndo hivyo tena naona inayoyoma, una mchongo wowote tuufanye?
Nakusikilizia.
 
Bro hata awe amekosa nini kununa sio staili ya kidume cha mbegu

Umesomeka Mama Big ; viume vya mbegu kuchukia No...; hata kama mgombea mwenza kakutwa anamegwa kdume cha mbegu kinamezea , safi sana ,,
 
mwanaume kweli hanun ..et siku 5 hamuongei??
km ana hasira sana atatoka ataenda ukooo badaye atarud mtalizungumzia tatizo
ukiona kakununia et wiki mmh jaman ..uenda naye alikuwa anatafuta kaoportunity falan ivi juu ya kitu faln ivi..
wanawake mara nyng ndo wananuna...wanaume wanapenda kuclear tatizo once n 4ol...
Aaa kweli, sasa Rose mbona mtakuwa mnatuone hapa ....... yaani mnaju hata mkifanya nini
hatutanuna ................ mie huwa nkichukia najiendea kupata valuer mkirudi usingizi .....
 
Wanaume kununa kupo ila kupo tofauti sana na kununa kwa wanawake.Wakati ambapo mwanamke anaweza kununa mwezi kama kaudhiwa,ili abembelezwe maana kudeka pia ni hulka ya wanawake wengi. Mwanaume si mara nyingi kufanya hivyo. Mwanaume anayenuna hata wiki moja huyo ni kazi sana kuishi naye!

Kwa kawaida mwanamke ananuna kama njia ya kutoa ujumbe wa kutoridhika na jambo.Ukiona mwanaume kanuna hasemi naye anaweza kuwa anatoa ujumbe kuwa kuna kitu hakiko sawa ila anajua akianzisha mjadala utaishia vibaya. Katika hali kama hiyo, mwanamke mwenye kuelewa na kutaka kusawazisha mambo basi atachukua jukumu kuanzisha mazungumzo na mara nyingi mwanaume atafunguka, wataongea na kumaliza mambo.Mwanaume ambaye bado ataendelea kununa basi huyo hana nia njema na uhusiano.
WoS sasa si inabidi anune mpaka ujumbe ufike, si wajua akidada wengine pia ni korofi, haulizwi mtu kitu, wote kimya tu ....
 
Wanaume bwana huwa hawanuni zaidi ya siku tatu ..hawapendi malumbani lakini sisi kina mama unaweza kununa mpaka sura inaanza kupoteza mvuto
sijui tukoje sie
Nimekusoma, ukizidisha siku tanu noma! hapo kwenye nyekundu ni kwanini inakuwa hivyo? FL1
 
+ kulala na jinsi + Viatu + tishet + kuonyoa ndevu = mnuno wa kiume
Hahah ..... sasa MB hapa usingizi upo kweli ............ mi nnlidhani ukiondoka kwenye mazingira
ya tukio inatosha?
 
Back
Top Bottom