Mwanaume Hanuni!

Aaa hatuko kiivo sweeti, wajua hata cc wakati kama huo.......... stimu inakata kabisa............ hapo kwenye red Nyamayao asema
we mpitie kwa juu tu ............hahahh au hapa hii haikuji .....:smile-big:
 

Bahati nzuri wapo wanawake wachache (Kama wanaume) ambao wanaweza control hasira zao...am one of them.......... Mwanangu siwezimpa adhabu ya babake... I have that feelings kuwa whatever mtu akifanyacho ana reason.......ntakusikiza kwanza kama kina lipa nareason la sivyo ......nitakweleza kwa upole how I feel.....ni kwa upole lakini maneno nitakayokupa......... hutakaa unisemeshe kwa muda wewe mwenyewe........... utajishuku but its for one day....Inatosha.

I remember there was this time, Mr alinirudia asubuhi I mean asubuhi saa kumi na mbili na hapo tulikuwa hatuna mzozo wowote na mtoto alikuwa mgonjwa . Jana yake nikamwomba anipeleke hospital na mtoto (Tena mvua yilikuwa yamyesha) akanidrop akiahidi atakujanchukua nikimaliza nimweleze (si kwamba nilikuwa nakwenda clinic la hasha, ntoto alikuwa anaumwa yaani nimefika hospital nimepokelewa na manesi juu kwa juu -mtoto anaanza kuspinjiwa yaani sikutegemea kama ningeshushiwa mlangoni huku ye akiwahi viti virefu (Maana ilikuwa jumamosi jioni na si wakati wa kazi).....nikatibiwa baada ya kupumzishwa mapumziko for an hour. Tukaruhusiwa saa nne usiku. Nampigia simu ananambia chukua tax........ I went hope hakurudi hadi kumi na mbili alfajiri......nagongana naye mlangoni mie naenda anika nguo zake nlizokuwa nazifyua tangu kumi na moja alfajiri......afu anaingia no sorry no what ndo kwanza anatoa maagizo wife niamshe saa nne ninakikao!!! No sorry, no mtoto anaendeleaje........... kwa kweli nilifura...but sikumwambia kitu na nikajenga tabasamu usoni...........but nilipokujafunua hili domo..................
 
Aaa hatuko kiivo sweeti, wajua hata cc wakati kama huo.......... stimu inakata kabisa............ hapo kwenye red Nyamayao asema
we mpitie kwa juu tu ............hahahh au hapa hii haikuji .....:smile-big:


Umkute anayejua maana halisi ya ndoa..... mwingine kama ndo ashashereheshwa na bi Kidwa.....ah ukimpitia juu hakawii kukwambia wamwangia lol............ yaache jamani yaitwe mapenzi.
 
What? my own blood..........! It will NEVER happen hiyo beery haitoshuka kabisaa, kwanza mie naona nsipokuwa hapo ni kama vile mtoto hatapata tiba sahihi, sio kwamba siwaamini maDr. au wewe
......... ndivyo nlivyo. Lazima nione vipimo vinachuliwa na niulizwe tuswali tuwili walau hata kuhusu option za dawa. Sasa nkarudi alfajiri mkikuta mtoto si mtoto ntalia? Zingine mie naona laana sio starehe.....pole mwaya
 
Umkute anayejua maana halisi ya ndoa..... mwingine kama ndo ashashereheshwa na bi Kidwa.....ah ukimpitia juu hakawii kukwambia wamwangia lol............ yaache jamani yaitwe mapenzi.
Hahah ........ makubwa hayo! ......... mapenzi ........ mbona watupa shida!!
 

Ndo mana nakwambia hizi kuta zinaficha mengi sana .....but am glad I managed to get rid of that stupidity in my life. But just know that pale ambapo we unadhani hapawezekani yupo ambaye anapaweza!! Acha tu.............afu baada ya kumweleza how I feel ananuna.................wiki hadi nzi wanatawanyika wakati wa kununa nlitakiwa niwe mie ah.... stupid
 
Hapa sidhani hata umri unahitajika kujua kwamba kufanya hivi ni kosa/kutokuwajibika/uonevu/uhuni and the like Zamani tulikuwa tufunzwa haya mambo wakati wa jando, namna ya kuishi na mwandani wako ......
sikuhizi nasikia hayo yamepitwa na wakati ..........
 
kununaaaaaa,yeah iila ukuzidisha unajikomoa mwenyewe kwanza kiafya na pili ni kama unajidhalilisha kwa mkeo ingawa hatakwambi!

Ndo kama hivo,anashindwa kukutofautisha na mashoshito zake wanao nuniana mwezi mzima
 
dah jaman pole
pole sana jaman dah.....
i stor imeniuzunisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…