Bahati nzuri wapo wanawake wachache (Kama wanaume) ambao wanaweza control hasira zao...am one of them.......... Mwanangu siwezimpa adhabu ya babake... I have that feelings kuwa whatever mtu akifanyacho ana reason.......ntakusikiza kwanza kama kina lipa nareason la sivyo ......nitakweleza kwa upole how I feel.....ni kwa upole lakini maneno nitakayokupa......... hutakaa unisemeshe kwa muda wewe mwenyewe........... utajishuku but its for one day....Inatosha.
I remember there was this time, Mr alinirudia asubuhi I mean asubuhi saa kumi na mbili na hapo tulikuwa hatuna mzozo wowote na mtoto alikuwa mgonjwa . Jana yake nikamwomba anipeleke hospital na mtoto (Tena mvua yilikuwa yamyesha) akanidrop akiahidi atakujanchukua nikimaliza nimweleze (si kwamba nilikuwa nakwenda clinic la hasha, ntoto alikuwa anaumwa yaani nimefika hospital nimepokelewa na manesi juu kwa juu -mtoto anaanza kuspinjiwa yaani sikutegemea kama ningeshushiwa mlangoni huku ye akiwahi viti virefu (Maana ilikuwa jumamosi jioni na si wakati wa kazi).....nikatibiwa baada ya kupumzishwa mapumziko for an hour. Tukaruhusiwa saa nne usiku. Nampigia simu ananambia chukua tax........ I went hope hakurudi hadi kumi na mbili alfajiri......nagongana naye mlangoni mie naenda anika nguo zake nlizokuwa nazifyua tangu kumi na moja alfajiri......afu anaingia no sorry no what ndo kwanza anatoa maagizo wife niamshe saa nne ninakikao!!! No sorry, no mtoto anaendeleaje........... kwa kweli nilifura...but sikumwambia kitu na nikajenga tabasamu usoni...........but nilipokujafunua hili domo..................