Mwanaume haombi hela anaomba kazi, naombeni kazi ndugu zangu

Ipo siku TU

Member
Joined
Nov 26, 2025
Posts
38
Reaction score
92
Mimi ni Kijana 25,

Naomba KAZI yoyote ya nguvu na akili. Nipo Tabora ila naweza kwenda mkoa wowote kupiga KAZI.

Nina shahada ya maendeleo ya jamii. Nina ujuzi wa kutumia computer (Microsoft package). Nina communication skill full package.

Kwa yoyote ambae ameguswa na mimi karibu.
DM
 
Zile kazi zilizofungwa tarehe 22 uliomba?
 
Back
Top Bottom