Mwanaume hawezi kuoa binti anayejua kila kitu

Mwanaume hawezi kuoa binti anayejua kila kitu

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Nani aoe shida Jamini?

Unaoa binti anajua kila kitu siasa yeye, mpira yeye, ujasiliamali yeye, kubeti yeye, Movie yeye, biashara yeye, hadi Harakati yeye.

Hii haitakuwa ndoa sasa. Hawa tunawaacha humu waendelee kupush ajenda! [emoji56][emoji56][emoji56][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Hayo yote si lolote kama anajiheshimu, unaweza oa asiejua uloyataja bt balaa lake likawa kubwa zaidi.
 
Huyo ndiye mke.

Labda tu kama pia anajua guest house nyingi, viwanja vya starehe na hotel nyingi ndo naweza kuwaza mara mbili.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Nani aoe shida Jamii? Unaoa binti anajua kila kitu siasa yeye, mpira yeye, ujasiliamali yeye, Kubeti yeye, Movie yeye, biashara yeye, hadi Harakati yeye.. Hii haitakuwa Ndoa sasa.. Hawa tunawaacha humu waendelee kupush ajenda! [emoji56][emoji56][emoji56][emoji119][emoji119][emoji119]
Huyo hawezi kuwa mke atakuwa ni shabiki mwenzio wa soka
 
Na huo ndo uelekeo halisi wamechoshwa na hela zetu za masimango, maisha ni kusaidiana,50/50
 
Hakuna mtu wa aina hiyo duniani hapa, huwezi jua kila kitu zaidi zaidi utajifanya tu unajua kila kitu
 
Back
Top Bottom