Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
ππππHuyo ndiye mke.
Labda tu kama pia anajua guest house nyingi, viwanja vya starehe na hotel nyingi ndo naweza kuwaza mara mbili.
Huyo hawezi kuwa mke atakuwa ni shabiki mwenzio wa sokaNani aoe shida Jamii? Unaoa binti anajua kila kitu siasa yeye, mpira yeye, ujasiliamali yeye, Kubeti yeye, Movie yeye, biashara yeye, hadi Harakati yeye.. Hii haitakuwa Ndoa sasa.. Hawa tunawaacha humu waendelee kupush ajenda! [emoji56][emoji56][emoji56][emoji119][emoji119][emoji119]