Mwanaume hereni masikioni na msuko wa twende kilioni

Mwanaume hereni masikioni na msuko wa twende kilioni

Ndeleya

Member
Joined
Mar 20, 2009
Posts
18
Reaction score
6
Je huu ni uzuzu, uzezeta, au ulimbukeni? Kwani umaarufu mpaka utoboe masikio na kuvaa heleni? Haya, hiyo haitoshi sasa wasuka twende kilioni na mkorogo wapaka.

Acheni hizo bana, mnatudhalilisha wanaume wenzenu.
 
Muulize Ngosha a.k.a the Don yule wa rock city asiyejua kuimba
 
mi huwa nahisi myb ni sheria kila msanii ni lazima kuvaa heleni... coz sijajua faida ya hizo helen kwao ni nini
 
Jaribu kuongea iki unachoongea mbele yake then ndio utajua ni mchumba sku izi ama vp.

sasa kama kapafona anapumuliwa usogoni ndo itakua ngumu kwa makwilo we vipi ile miili tu ndo inapendwa na wazee wa kazi
 
Back
Top Bottom