Mwanaume hii inakushushia hadhi....

Tafuteni hela, ata ukivaa viatu vya njano na mkanda wa blue, hela hela hela hela hela
Sawa lkn utanashati usmart unaenda na Hela.....pata Hela Vaa vizuri classic mpaka adui watetemeke uchomeke suruali kwenye Buti Ili zionekane umekuwa mtoto wa secondary school ? Kuachana na ubishoo mavi nayo ni maturity.......
 



- Mwanaume ni kuzingatia maokoto tu na hadhi unabaki nayo.
 
Mtu anabidi aishi anavyotaka ikiwezekana atembee uchi Safi tu ukiwa serious na MAISHA ya watu utachanganikiwa kichwa kikubwa hakikisha haumpi mtu hela
Zaa mtoto wako atembee uchi basi kengele zinaruka ruka Kila mtu amwone au Binti Yako wa kike kipochi manyoya nje nje Kila mtu amwone hata na wewe tembea tu uchi Mkuu maana halisi ya uhuru halafu unipe feedback.....
 
... au unashinda kwenye key board unaandika wana-ume wenzako wanavaaje na hela ya kula huna, nao ni ushamba plus plus. Big no no.
 
Shughulika na mmeo binti, dunia hii kila mtu na itikadi yake,

Kuna wanawake wanapenda wanaume wahuni wahuni, ukiwa smart huwapati
 
... au unashinda kwenye key board unaandika wana-ume wenzako wanavaaje na hela ya kula huna, nao ni ushamba plus plus. Big no no.
Wewe imekuwaje ukacoment kama ulikuwa busy sana usingecoment....huu muda uliotumia kukomenti ungeutumia kutafuta maokoto we mwenyewe mshamba pia,,basi hatuchekan Mkuu wote hatuna pesa ya Kula...+ Unachomekea suruali kwenye Buti wewe ni mtt wa secondary mbona imekuuma sana mkuu....ukisikia kelele ujue limempata....
 
Hii inawahusu wanaume wa "daslama" sisi wa mkoani huku tunavaa suluali kubwa ya kitambaa na wavu kiunoni hatuwazi kabisa, alafu nyie wavulana wa "daslama" mkija huku vijijini msiwe mnavaa vile vikaptula vyenu kama viboxer mnatembeza mapaja nje kama pisi kali, mjue mna tamanisha watu mtakuja kushikwa makalio kama sio kugegedwa kabisa shenziiiiiiiiiiii kabisa nyie
 
Shughulika na mmeo binti, dunia hii kila mtu na itikadi yake,

Kuna wanawake wanapenda wanaume wahuni wahuni, ukiwa smart huwapati
Hujaombwa ushauri mkuu wewe fata mambo Yako.....na mkeo......na nyumbani kwako...anzishia Uzi wako na wewe wa hao wanaume wahuni wahuni....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…