Mwanaume HIV+ anahitajika

Mwanaume HIV+ anahitajika

Tatizo umebagua, ungesema tu kuwa mm nipo HIV+ ninaitaji mwenza wa kiume umri flan bas, lakin ulivyosema mwanaume HIV+ inamaana wanaume walio negative wenye nia na ww umeisha wawekea boundary

Labda kama mnataka mumchezee tu
 
BADO NINATAFUTA MWANAUME JAMANI AWE HIV + ,,MIAKA 33 KUENDELEA AWE NA SHUGHURI YA KUMUINGIZIA KIPATO.ZAIDI AWE MAENEO YA IRINGA ,ASANTENI KARIBU PM
Mungu akubariki maana unajali afya za watu ,zaidi sana akutane na haja ya moyo wako
 
mungu akubless mwaka huu usiishe bila kutenda miujiza, basi neno lake linasema "njooni kwangu nyote wale wenye kulemewa na mizigo mizito nami nitawatua" basi umeshatuliwa mzigo na njia yako ni nyepesi.
 
Amiiina barikiwa sana Mtumishi wa Mungu,,,
 
Back
Top Bottom