Hammy Js
JF-Expert Member
- Sep 20, 2017
- 3,054
- 3,263
We jamaa wewee[emoji1] [emoji1] [emoji1]Negative haturuhusiwi? Mbona ubaguzi huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa wewee[emoji1] [emoji1] [emoji1]Negative haturuhusiwi? Mbona ubaguzi huu
Kwa nn mkuuWe jamaa wewee[emoji1] [emoji1] [emoji1]
mmm!!hivi hadi karne hii bado kuna watu wenye mawazo kama haya??daaaa inasikitisha kweli!!mkuu umenisikitisha kweli licha ya elimu yote inayotolewa kumbe bado!!tz ya viwanda ni ndotoWe unataka mwanaume wa nn na una HIV tayari? Si mtabadilishana hao viruses?
Kama upo tayari kugeuziwa kibla sio[emoji23]🤣
Kama yupo interested kufa
Duhhh MkuuHadi umefungua ID mpya!!!!
Eti "awe na muonekano unaoridhisha"!!!!!!!!!
Said!. Usitukane wakunga.......watu wana majibu ya kunya as if mleta mada kasema jambo jipya?
mbona mkiambiwa mvae condom hamtaki? So na.nyinyi yatawakuta.
[emoji316][emoji316][emoji316]Kama yupo interested kufa
Haya bhana, huyo aliyekuambukiza ulimwacha kwanini??
Dah, very sad kusoma comment Kama hizi katika zama Kama hizi. Huu unyanyapaa mpaka lini? Are you any better kuzidi yeye? Wewe tu Ndo mwenye haki ya kuwa na mahitaji emotionally and physically?We unataka mwanaume wa nn na una HIV tayari? Si mtabadilishana hao viruses?