MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Kumuua mpenzi au hata kumjeruhi ndo upumbavu wa mwanaume asiyechepuka. Kuna umuhimu wa kila mwanaume kuwa na mchepuko angalau mmoja ili kuepuesha stress zisizoeleweka.
Wanaume wenye akili na wanaojitambua lazima awe na mchepuko ili njia kuu inapoleta shida inakuwa rahisi kuachana nae kisha kumpandisha cheo mchepuko.
Karibu wazee wetu wote walikuwa wana michepuko yao ya siri kiasi kwamba hadi mtoto wa nje anamaliza darasa la saba ndo inakuja kujulikana.
Kwa wale walokole wanaoshindwa kujua wapate vipi mchepuko kuna njia rahisi sana. Tongoza the best friend wa mke/mpenzi wako.
Hao BFF ndo maadui wakuu wa uhusiano/ndoa ya mkeo hivyo ni rahisi sana kuwa mchepuko wako. Na siku wife akizingua unampa surprise ya kumpandisha cheo BFF wake.