Mwanaume huyu ana shida gani?

huyo mwana kajisemea mwenyewe. Ni mume wake ndie mwenye hivo vituko. Ila namshauri ajichunguze yeye inakuwaje jamaa hamaind papuchi yake? Anakula mara moja au mbili tu per month.. Loh!

Sawa mkuu
 
Na wewe ni nani mpaka uwe na inside details zandani kabisa za mume wa mtu ?
Wewe ulisashawahi mvulia nguo ukadhibitisha hilo? ndio maana unajiita nyaumwenyemvi
Tafadhali wanandoa mnatakiwa muwe na heshima na ndoa zenu mnapotoa detailed weakness zenu mnajijengea mazingiza mazuri ya kujibomoa nyie wenyewe" Au mmesahau maandiko yanasema MWANAMKE MJINGA ATAIBOMOA NYUMBA YAKE KWA MIKONO YAKE MWENYEWE! Inshallah
 
kabanga si useme ni wewe bana unajishika shika mali zako mpaka kunakucha ya nini kusingizia mtu mwingine

hahahaaa! kabanga anajishika mpaka anafika mlima kilimanjaro ama?

hako katabia kanaanzia mbali sana, usione mtu anakuwa addicted from nowhere..
 
Last edited by a moderator:
Huo mkono si heri angekuwa anauelekeza kwa mkewe tu mpaka analala?

Hii kali aisee... mastabeshen mpaka mbele ya mke ? salaaaale!
 
huyo mama anachangia, alipaswa akimuona jamaa anashika mzigo amtoe mkono aendelee Yeye....sasa mwanamke gani huyo hajui mahitaji ya mwenzie...?

Swadakta!
 
hahahaaa! kabanga anajishika mpaka anafika mlima kilimanjaro ama?

hako katabia kanaanzia mbali sana, usione mtu anakuwa addicted from nowhere..

Ndo manaana yake Excel jamaa anajishika mananihii na kinanihii mpaka anafika mlima kilimanjaro tena mbele ya my wife wake
 
Last edited by a moderator:
Ndo manaana yake Excel jamaa anajishika mananihii na kinanihii mpaka anafika mlima kilimanjaro tena mbele ya my wife wake

na kilio cha kugugumia anatoa kabisa?

ila mkuu hili ni tatizo, na tatizo lenyewe linaanzia utotoni kabisa, kuna vimjamaa street hapa huwa vinatembea kutwa mikono iko kwenye mapumbu, majanga yake ndo haya sasa..
 
Halafu unakutana nae anakupa mkono akusalimie
Na hapo akitoka akiingia bafuni maana ashajichokoza mchana kutwa ni lazima alingurumishe
Anakuja kufika kipindi ngoma moja anakoroma hawezi tena kurudia kwa nini viagra isimhusu aise
 
mkuu unajua peer groups ni mbaya sana! ujinga ujinga kama huu vijana tunaupatia kwenye makundi tu....

Huyu wa hivi akishakua, tena kwa bahati tu akipata elimu akajua madhara yake ndo atakuja kubadilika...

kwa jinsi hii lazima wake zao wagongwe sana nje ya ndoa.. tena sana tu!
 
Mkuu Tatizo hataliona sasa ila baadae ndo ataona madhara ya kile alichokuwa anafanya
Na linaanza taratibu na nafikiri unawaona hapa wanavyolalamika mara sijui round moja siwezi ya pili au mara mgegedo hausimami vyema mara sijui atumie nini kurudisha nguvu kumbe hajui ni yeye mwenyewe amechezea mambo yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…