Wana-jamiiforums naombeni mtoe mawazo yenu.
Kuna mwanaume ameoa na ni baba ana watoto kadhaa,ila hafanyi tendo la ndoa na mkewe hata kwa mwezi inakuwa mara moja tu au mbili,ila kila siku anapokuwa amelala yupo macho lakini anasoma magazeti huwa anajishika uume na mapumbu yake mpaka anasinzia.
Mkewe amejaribu kumbadilisha hiyo tabia lakini hajaacha mpaka amekata tamaa na inamkera sana mkewe kiasi kwamba akimkuta anajishika hivyo mke anakasirika ananyamaza kimya anaondoka anaenda sebuleni ili asimuone.
Je hili ni tatizo gani jamani?
Tumshauri mwenzetu.