Mwanaume jitahidi kila mwezi ufahamiane na angalau wanawake wawili

Dumuzii

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2019
Posts
3,593
Reaction score
8,595
Wengi wataona kama ni ujinga lakini hii kitu itakusaidia Sana kupata amani na furaha ya moyo wako.

Wanaume wengi mnaumizwa na wanawake kwa sababu ya ufinyu wa marafiki wa kike katika mzunguko wako.yaani utakuta mwana ume Hadi anafika chuo Ana namba za mademu wa form four na shule za msingi ndio hao anashinda anawalilia wampe mbususu. Hapo ndugu yangu hauta ufurahia ujana wako .

Hakikisha kila mwezi unapata japo namba za wanawake wawili tu hii itakufanya kuishi Kama mfalme na kuwa na opportunity nyingi yaani chance nyingi ukizinguliwa huku haulembi unakimbilia huku chap .

Hii itakufanya kuepukana na dharau kwa kuitwa majina Kama kupe ,msumbufu, nk

Na kubwa kuliko pindi utakapo kuwa na urafiki nao usiwatongoze kwa kuwapiga sound uwe mtu wa story tu za kawaida .

Usiwe mtu wa kuwachatisha Sana ila sifia Mara moja moja pale utakapo ona status zao na iwe comment ya kawaida Sana isio onesha uhitaji wa kidumbwasha chake yaani jiepushe na mizaha nao.

Punguza mazoea yasio na maana hapa atakua na attention na wewe na kaza hivo hivo bila kuonesha uhitaji cos ukilegeza utatengeneza mazingira ya kuanza kupigwa vibom na kuchukuliwa poa.

Kwenye kuwala Sasa [emoji39][emoji39] pia hapa usiwatongoze ...kutokana na kuwafuga kwa muda mrefu utakua umesha jua interest zao bila kuwauliza. Hapa Anza kuwa alika sehemu unazo ona Wana interest nazo na kuwatengenezea mazingira ya kuwala kimasihara, hii formula ni wanawake wachache Sana wanaweza chomoa ni Kama asilimia moja tu ndio watachomoa ila walio Baki wote lazima utawachezea vidubwasha vyao.

Na hizi invite hakikisha zinaenda kufanyikia mbali na maeneo ambayo hawaja yazoea yaani mapya kabisa ......alafu wanawake wa siku hizi ni waelewa na wanajua kujiongeza akikubali tu invitation anaweka na probability ya kubanjuliwa Sasa hiyo probability ya kubanjuliwa ni jukumu lako wewe Kama mwanaume kucheza nayo .... Na juu ya kumbanjua inategemeana na Aina ya mtoko mlio toka na mazingira gani utayaseti ujishindie tunda .

Faida za hii ni kwamba utakuwa huru na wewe ndio utakua master plan wa game nzima.

Itakuwezesha kujicontro na kukontro uchumi wako lini ufanye nini na kwa bajeti gani .

Pia wewe kama kidume you will feal proud muda mwingi na kuwa na furaha muda wote cos hauta kuwa na binadamu anae kuumiza kichwa.

Na ukila mbususu hakikisha unaitendea haki ili kesho ajilete mwenyewe kwa kuku omba na sio wewe kunza kumlazimisha na kulilia upewe Tena .

Last but not least hakikisha mkirudi unampa hela ya sabuni Kama kumlinda hivi ....aisee ukiwa hivi utakula Mbususu za watoto wa watu Hadi ukimbie na utajipeleka kwa mwamposa akuombee maana pepo la uzinzi limekushika kukuandama [emoji38][emoji38][emoji38]....

Hii formula utaitumia mwanzoni mwa mchezo tu baada ya hapo wenyewe ndio wataanza kujileta hapa utakua pia na nafasi kubwa ya kuchagua mke unae mtaka .

NB kinga muhimu magonjwa mengi.
 
Wengi wataona Kama ni ujinga lkn hii kitu itakusaidia Sana kupata amani na furaha ya moyo wako .

Wanaume wengi mnaumizwa na wanawake kwa sababu ya ufinyu wa marafiki wa kike katika mzunguko wako.yaani utakuta mwana ume Hadi anafika chuo Ana namba za mademu wa form four na shule za msingi ndio hao anashinda anawalilia wampe mbususu. Hapo ndugu yangu hauta ufurahia ujana wako .

Hakikisha kila mwezi unapata japo namba za wanawake wawili tu hii itakufanya kuishi Kama mfalme na kuwa na opportunity nyingi yaani chance nyingi ukizinguliwa huku haulembi unakimbilia huku chap .

Hii itakufanya kudhalilishwa kwa kuitwa majina Kama kupe ,msumbufu, nk

Na kubwa kuliko pindi utakapo kuwa na urafiki nao usiwatongoze kwa kuwapiga sound uwe mtu wa story tu za kawaida .

Usiwe mtu wa kuwachatisha Sana ila sifia Mara moja moja pale utakapo ona status zao na iwe comment ya kawaida Sana isio onesha uhitaji wa kidumbwasha chake ...yaani jiepushe na mizaha nao .

Punguza mazoea yasio na maana hapa atakua na attention na wewe ....na kaza hivo hivo bila kuonesha uhitaji ...cos ukilegeza utatengeneza mazingira ya kuanza kupigwa vibom na kuchukuliwa poa.

Kwenye kuwala Sasa [emoji39][emoji39] pia hapa usiwatongoze ...kutokana na kuwafuga kwa muda mrefu utakua umesha jua interest zao bila kuwauliza. Hapa Anza kuwa alika sehemu unazo ona Wana interest nazo na kuwatengenezea mazingira ya kuwala kimasihara ...hii formula ni wanawake wachache Sana wanaweza chomoa ni Kama asilimia moja tu ndio watachomoa ila walio Baki wote lazima utawachezea vidubwasha vyao.

Na hizi invite hakikisha zinaenda kufanyikia mbali na maeneo ambayo hawaja yazoea yaani mapya kabisa ......alafu wanawake wa siku hizi ni waelewa na wanajua kujiongeza akikubali tu invitation anaweka na probability ya kubanjuliwa Sasa hiyo probability ya kubanjuliwa ni jukumu lako wewe Kama mwanaume kucheza nayo .... Na juu ya kumbanjua inategemeana na Aina ya mtoko mlio toka na mazingira gani utayaseti ujishindie tunda .

Faida za hii ni kwamba utakuwa huru na wewe ndio utakua master plan wa game nzima.

Itakuwezesha kujicontro na kukontro uchumi wako lini ufanye nini na kwa bajeti gani .

Pia wewe kama kidume you will feal proud muda mwingi na kuwa na furaha muda wote cos hauta kuwa na binadamu anae kuumiza kichwa.

Na ukila mbususu hakikisha unaitendea haki ili kesho ajilete mwenyewe kwa kuku omba na sio wewe kunza kumlazimisha na kulilia upewe Tena .

Last but not least ....hakikisha mkirudi unampa hela ya sabuni Kama kumlinda hivi ....aisee ukiwa hivi utakula Mbususu za watoto wa watu Hadi ukimbie na utajipeleka kwa mwamposa akuombee maana pepo la uzinzi limekushika kukuandama [emoji38][emoji38][emoji38]....

CHAPUTA nimejitoa naanza kutumia formula hii tu 😊😊😊😊😉
 
Summary
.... Chukua namba za wanawake
..... Usiwashobokee acha wakushobokee wao
..... Wa_,,invite kwenda Sehem ya mbali ikiweza hata mwezini .... Kula kipochi manyoya.... Mpe hela ya sabuni
N.B amesema usisahau kupeleka moto hadi cheche zitoke ili wawe wanakutafuta wenyewe.
 
Hapo unamuongelea mvulana sio "mwanaume".
 
Umesahau kutueleza tutapambana vipi na text “baby luku imeisha”..”yaani nahisi homa nataka kwenda hospital afu bima sioni”.

Wanawake ni gharama
Hayo mazingira unatengeneza mwenyewe kwa kupenda kuchati chati . Omba namba save namba mtext moange akusave ...Anza kuona status zake ...mbona nimeeleza hapo
 
Madaa nzima hiko poa lakin mawazo yako yako pale pale a2ambie jins ya kubaje pesa pia
 
Upo sahihi lakini inategemea mtu na mtu, kwa mfano kuna kidem sijawahi kukatongoza lakini ukichat nako story zake ni ngono tu, ukimchatisha vitu vingine ni kama unamboa tu. nadhani hii inawork kwa decent girls tu hivyo inakupasa umsome mtu tabia ndo ujue gia ipi ya kuingia nayo.
 
Nimeeleza hili
 
Summary
.... Chukua namba za wanawake
..... Usiwashobokee acha wakushobokee wao
..... Wa_,,invite kwenda Sehem ya mbali ikiweza hata mwezini .... Kula kipochi manyoya.... Mpe hela ya sabuni
N.B amesema usisahau kupeleka moto hadi cheche zitoke ili wawe wanakutafuta wenyewe.
summary in order mkuu 👍🏽
 
Back
Top Bottom