Dumuzii
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 3,593
- 8,595
Kabla mambo hayajawa mengi ni ufala kwa mwanaume kuanzisha mahusiano yoyote kwa gia ya pesa.
Kifupi ukianzisha hayo mahusiano jua umesaini mkataba wa kutumika. Na utatumika kama kondom vile. Yaani ponea yako labda upasuke.
Hata vitabu vitakatifu vinakuambia hapo mwanzo kulikua na neno. Ndio Yakaja mambo mengine .
Hutaki kuelewa sawa jentromeni wetu wa namtumbo kila la heri.