Mwanaume kafukuzwa kazi, namuacha

Kwa kweli nimeshindwa kukusoma..najaribu kufungua posts zako zote lakini sielewi unasimamia hoja gani..
Ngoja nisome tu comments za wengine!!

we kweli ur my pacha !huyu mwanamke hata mimi simwelewi kabisa,samahani jamani nimejikuta tu namchukia!NISAMEHEWE BURE BILA HTA 10/=
 
Natalia usinichekeshe, wewe huyo mumeo umemuanzia visa kitambo, mara mwanaume wa kizungu ana dushelele dogo ukilinganisha na la mbongo, mara umepata mwanaume mwingine yeye anakulazimisha uendelee nae nawe humtaki, mara kafukuzwa kazi unataka kumuacha... NAKUPA POLE SANA, kwani kwa haraka haraka naamini ulimfuata huyo mwanaume si kwa MAPENZI ya DHATI bali ni kwa sababu ya PESA YAKE.. Sasa amefulia unamuona MCHUNGU... Hukuwa na mapenzi ya dhati.. POLE SANA...
 
Anayo master ya kuchuna.kweli kwahalihii hatuna haja yakuoa.nikuongeza mizigo ndani isyokua nafaida


Naomba muoe ili na nyie msiishie kutoa ushauri hewa kwa wenzenu!!

Binafsi naanza kumwelewa Natalia na kama ingewezekana (unfortunately unlikely), ningeomba tuwasiliane ili nianze mipango ya kupeleka posa kwao!! Atakuwa mtu wa burudani la nguvu sana huyu dada!!


Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

kama hujafa kwa brain konkashen ukaacha pengo jf
 
Last edited by a moderator:
Unatu-beep? tuma pm nianze kukuhudumia.
 
na wewe ukafukuzwe kazi uendako unataka usivyovimudu kapuchi we
 
Huu m*sukule wa wapi u!Unatafuta umaarufu kwa bidii..pole shosta..
 
Siwezi kuishi bila shopping ,mgari wake kicheche.ananiambia nivumilie siwezi

Akili yako ndogo dada, si utafute yako na wewe sio unamtegemea mumeo tu au elimu ya kuungaunga mama wa kijiweni umbea ni kwako?
 

Hapa ndo pale inapokuja MWANAMKE WA KUOA na MWANAMKE wa OSHA RUNGU SEPA mishale ya kuoa ikiwadia.
 
Siwezi kuishi bila shopping ,mgari wake kicheche.ananiambia nivumilie siwezi
we dada unamambo sana juz juzi ulipost unamabwana wawili coz unataka gari hv unajua unachohitaji au unapoteza muda na thamani yako?
 
Anayo master ya kuchuna.kweli kwahalihii hatuna haja yakuoa.nikuongeza mizigo ndani isyokua nafaida

co wote bro wachahe mno ndio kama huyu maana hajielew wala hajui anataka nn kutoka kwa mwanaume hajui thamani ya penzi hajui utamu wake huyu inawezekana ashatendwa kutoka na amtendo yake sasa anadhani analipiza kisasi kumbe anajiaharibia mweh?!1 i cnt stand her
 
"We should learn to help others,not only in our prayer but also in daily life,if we cannot help them_then,the least thing we can do is to desist from harming them"
 

Sio hajielewi anajielewa kabisa na kaweka wazi hapo juu bila pesa na gari basi huyo mwanamme hamfai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…