King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Natalia hyo masters ndio zile za pichu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwezi kuishi bila shopping ,mgari wake kicheche.ananiambia nivumilie siwezi
Kwa kweli nimeshindwa kukusoma..najaribu kufungua posts zako zote lakini sielewi unasimamia hoja gani..
Ngoja nisome tu comments za wengine!!
Master's ya nini??
Umemsikia DC wa Korogwe??
Sorry kama unayo ya Harvard!
Babu DC!!
Anayo master ya kuchuna.kweli kwahalihii hatuna haja yakuoa.nikuongeza mizigo ndani isyokua nafaida
Naomba muoe ili na nyie msiishie kutoa ushauri hewa kwa wenzenu!!
Binafsi naanza kumwelewa Natalia na kama ingewezekana (unfortunately unlikely), ningeomba tuwasiliane ili nianze mipango ya kupeleka posa kwao!! Atakuwa mtu wa burudani la nguvu sana huyu dada!!
Babu DC!!
kama hujafa kwa brain konkashen ukaacha pengo jf
Siwezi kuishi bila shopping ,mgari wake kicheche.ananiambia nivumilie siwezi
Nina masters degree I want advise ok .you don't have to comment
then master degree yako haijakukomboa....
Mtu mwenye masters bado anategemea wanaume ili aende shopping?
Mwenye masters anategemea kuhongwa gari?
Loh huyo mwanaume heri akuache, huna faida nae....
Kama mwenza na masters yako huwezi kumwinua mumeo pale anapoanguka wa kazi gani?
Na nyie wanaume sio kila mwanamke mradi ameng'ara unamkimbilia....
we dada unamambo sana juz juzi ulipost unamabwana wawili coz unataka gari hv unajua unachohitaji au unapoteza muda na thamani yako?Siwezi kuishi bila shopping ,mgari wake kicheche.ananiambia nivumilie siwezi
Anayo master ya kuchuna.kweli kwahalihii hatuna haja yakuoa.nikuongeza mizigo ndani isyokua nafaida
Siwezi kuishi bila shopping ,mgari wake kicheche.ananiambia nivumilie siwezi
co wote bro wachahe mno ndio kama huyu maana hajielew wala hajui anataka nn kutoka kwa mwanaume hajui thamani ya penzi hajui utamu wake huyu inawezekana ashatendwa kutoka na amtendo yake sasa anadhani analipiza kisasi kumbe anajiaharibia mweh?!1 i cnt stand her