Mwanaume kakuzalisha halafu hataki kutoa barua



Soda ni tofauti na togwa togwa unaweza kuonja halafu ndio uinunue laikini soda lazima uinunue ndio uijue ladha yake kama mwanamke atajifanya togwa ataojwa sanaaaaaa matokeo yake atazaa watoto kila mmoja na babake! ndio maana sie dini yetu inakemea mno zinaa maana tumeambiwa tusiikaribie zinaa. Yaani kuikaribia tu tumekatazwa kuikaribia ni kama kutongoza na kutiana ashki! ikiwa tumekatazwa kuikaria tu je nini adhabu wa wanaoifanya?
 
Kwetu Ziwa Magharibi huwezi KUOA mwanamke ambaye tayari ana mtoto!

Kama umezaa kabla ya KUOELEWA ni ishara kuwa "kuna kitu kinachokosekana mahala"!
 

Adhabu moja wapo ndio kama hii wanayoitakia ushauri.
 
.......sasa wewe hukumuona tokea mwanzo kwamba si muoaji!!! Ilikuwaje ukajiachia sasa hadi ukapata mimba!!! Kama angekuwa muoaji angeshakuoa, ,mwanaume muoaji huwa halazimishwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…