Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,308
Too late. Hivi huwa mnategemea nini mnapowavulia nguo kabla hawajawaoa? They need you more than you need them (kabla ya kuwavulia nguo).
Sasa wewe ulie tu. Huna cha kufanya na wala si wa kuonewa huruma, kabla kumvulia ulikuja humu au kwenda kwa wazazi wako kutaka ushauri?
Next time be extra careful. Kuanzia leo, badilika u save situation. Kuwa mgumu na usimchekee, usikubali chochote kutoka kwake mpaka atakapo kuoa. Your first and foremost condition should be that, always.
Soda ni tofauti na togwa togwa unaweza kuonja halafu ndio uinunue laikini soda lazima uinunue ndio uijue ladha yake kama mwanamke atajifanya togwa ataojwa sanaaaaaa matokeo yake atazaa watoto kila mmoja na babake! ndio maana sie dini yetu inakemea mno zinaa maana tumeambiwa tusiikaribie zinaa. Yaani kuikaribia tu tumekatazwa kuikaribia ni kama kutongoza na kutiana ashki! ikiwa tumekatazwa kuikaria tu je nini adhabu wa wanaoifanya?